Naamini mume anapatikana popote..basi nam natafuta mume ishaalah...

Muombe mungu kwa sana utampata! Unaemuitaji sikati tamaa
 
Last edited by a moderator:
Mbona hasemi walishamdoo wangapi? biashara nii matangazo!
 


naomba nitumie ur mob no kwa pm plz
 
Asalam alaykum.rabana zidna ilman wardhukuna fahama.Dua hiyo Wewe unayo email au sm no, nipe.not joks this is serious thank you
 
mwombe Mungu atakupa mume bora sio bora mume.Niko serious nahitaji mtu kama wewe lakini naona dini imekua kikwazo coz mimi si mwislam.
 
Usipompata mpaka mwisho wa mwezi huu, ni pm mimi tuongee. mimi ni senior bachelor, ka elimu ka kutosha ninako, nilikuwa nime suspend suala la kuoa, lakini nina re-think msimamo wangu. karibu sana mdada.:bange:
 


lol, haya sasa
 
Habari yako mdada mimi naitwa Abubakar ninatafuta mwanamke wa kuoa mwislam kama wewe namba yangu ni o767 681 302 na 0713 681 302 naomba tuwasiliane soon
 

Akiwa mkristo ananafasi hata kidogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…