Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuo mwaka wa ngpi isjekua ni strategy maana boom nalo mhh!
Mh! Hata mimi nimewekewa fence,ngoja nikae kando pia,qwi! qwi! qwi! qwiiiiwengine tumewekewa ukuta ngoja tukae kando.:shut-mouth:
Wakubwa habari zenu na wadogo natumai wote hamjambo..mie ni bint wa miaka 24 na pia ningali mwanafunz wa chuo kikuu...nadhan imefka age ya mimi kua na familia ya kuitazama na kuihudumia kama mke na kama mama kwa ujumla...nahtaj mwenza wa kutulia nae kmaisha ambae atakua tayar pendo kulipokea kwa mikono miwili bila hiyana..napenda mwanaume msikiv,mchesh,mwenye heshma zake,anaejielewa kua amekua na anafanya nini,mpenda maendeleo,na mwenye kujua maana ya kuoa...ntafurah akiwa muslim...nipo tayar kulea mtoto kama ulishawai kuzaa kwa moyo na upendo wangu wote..mimi cjawah olewa,kuzaa wala kutoa mimba na uwe tayar kupma HIV/AIDS...na kama unamawazo mgando ya mapenz wala ucjsumbue mana ntakudharau na akil zako mgando znazowaza zinaa...Asante