Naamini nitampata mke mwema hapa!!

Naamini nitampata mke mwema hapa!!

LEGANGA

Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
15
Reaction score
1
Habari wanaJF, mimi ni mkaka wa miaka 39 mwajiriwa, natafuta mke wa maisha yangu kuanzia miaka 30-35, sichagui wala sibagui ''DINI, KABILA, RANGI, MWEMBAMBA AU MNENE, ELIMU NA MENGINE MENGI KAMA HAYO'' Nahitaji mtu mwenye mapenzi ya dhati toka moyoni na mwenye malengo ya maisha nipo serious sana na hili upendo wa kweli ndio unaohitajika hapa. Mengi tutaelezana zaidi, kwa yule mwenye hitaji kama langu aniPM..
 
Nilitaka kukupm ila hyo namba ya 666 ktk email yako imenishtua duh! Kila la kheri!


Habari wanaJF, mimi ni mkaka wa miaka 39 mwajiriwa, natafuta mke wa maisha yangu kuanzia miaka 30-35, sichagui wala sibagui ''DINI, KABILA, RANGI, MWEMBAMBA AU MNENE, ELIMU NA MENGINE MENGI KAMA HAYO'' Nahitaji mtu mwenye mapenzi ya dhati toka moyoni na mwenye malengo ya maisha nipo serious sana na hili upendo wa kweli ndio unaohitajika hapa. Mengi tutaelezana zaidi, kwa yule mwenye hitaji kama langu aniPM au email asantesana666@gmail.com.
 
Inawahusu wanawake tu, wanaume mnatafuta nini ktk thread hii!!? Kuweni waelewa.....
 
Nilitaka nikupm ila hio 666 imenipa ugonjwa wa moyo. Kila la heri kaka.
 
Mke mwema anatoka popote..
Usijali utapata
 
Evelyn Salt hakuna asiyekujua kwa uaribifu wa thread za watu, nadhani wivu ndio unaokusumbua uolewe basi ili uache hii tabia, hutaki kuona mtu anampata mwenza wewe ni mtu wa aina gani hakuna zuri kwako. Hujafundwa huko kwenu?? Huo sio uunngwana kabisa kila post unachafua tu unatuchosha sana.....
 
punguza munkari LEGANGA .sasa kweli unataka dini yoyote?mmmm hapo ndo uminitisha vininevyo ningetuma cv
 
Last edited by a moderator:
Cynthia Chriss;punguza munkari LEGANGA .sasa kweli unataka dini yoyote?mmmm hapo ndo uminitisha vininevyo ningetuma cv.

Unatishika na nini tena?? Au kwa kuwa nimekuwa muwazi na mkweli sana??
 
if you are mature enough na kweli unataka kuoa dini ni kigezo kikunwa sana haiwezekani useme unataka dini yeyote,unless you are such desperate.yani let say we muislam unakutana na mie Mkristu kwanza tunaanza anza je.hujawa muwazi kivile
 
Habari wanaJF, mimi ni mkaka wa miaka 39 mwajiriwa, natafuta mke wa maisha yangu kuanzia miaka 30-35, sichagui wala sibagui ''DINI, KABILA, RANGI, MWEMBAMBA AU MNENE, ELIMU NA MENGINE MENGI KAMA HAYO'' Nahitaji mtu mwenye mapenzi ya dhati toka moyoni na mwenye malengo ya maisha nipo serious sana na hili upendo wa kweli ndio unaohitajika hapa. Mengi tutaelezana zaidi, kwa yule mwenye hitaji kama langu aniPM..
ayo maasihara sas
upate mke humu?labda kwa mkataba
 
KUNA MJANE MTAANI KWETU NA YEYE ANATAKA MWANAUME KAMA WEWE,YAN MAPENZ TU VITUVINGINE CONSTANT,KAMA UPO TAYARI ni-PM no.zako uchek naye
 
Back
Top Bottom