Habari wanaJF, mimi ni mkaka wa miaka 39 mwajiriwa, natafuta mke wa maisha yangu kuanzia miaka 30-35, sichagui wala sibagui ''DINI, KABILA, RANGI, MWEMBAMBA AU MNENE, ELIMU NA MENGINE MENGI KAMA HAYO'' Nahitaji mtu mwenye mapenzi ya dhati toka moyoni na mwenye malengo ya maisha nipo serious sana na hili upendo wa kweli ndio unaohitajika hapa. Mengi tutaelezana zaidi, kwa yule mwenye hitaji kama langu aniPM..