Naamini Rais Magufuli ana washauri wazuri na anashauriwa vizuri tuu! , Ila...

Naamini Rais Magufuli ana washauri wazuri na anashauriwa vizuri tuu! , Ila...

Wanabodi, msikilizeni jinsi rais Magufuli anavyohutubia vizuri wakati anaposoma hotuba aliyoandikiwa. So far hotuba hii mpaka hapa alipofikia, is one of the best. Akisoma mwanzo mwisho bila kuchomekea, he will be the best, ila kwa vile bado anahutubia, huwezi jua atachomokea nini.

Lets hope for the best, chochote atakacho chomekea ni kuendeleza uzalendo na Umoja wa kitaifa.

Hongera sana Magufuli
Mungu Ibariki Tanzania.
P
Br p sijaelewa mbowe anaomba maridhiano gani ,hivi kwani siasa ni lazima

USSR
 
Pascal Mayalla,
Yaani mtu anayeshindwa kujielewa ni wapi asimame kama mwenyekiti wa ccm yenye wanachama milioni 10 na wapi asimame kama rais wa watanzania wapatao milioni 55,atawezaje kujua hapa aongee kama magufuli na pale aongee kama rais magufuli,huyu ni hasara kwa nchi yetu and no wonder Kabudi kaokotwa huko jalalani otherwise no way incompetent individual like magufuli angeweza kutunukiwa shahada ya uzamili na chuo makini unless otherwise iwe ya kupewa
 
Mzee P unajuwa mada zako zinatuvuruga sana? Hivi nikuulize as now tatizo ni mawaziri au Rais?
Mkuu TumainiEl, hatukuchagua malaika, tumemchagua binadamu, hivyo can make mistakes kama human beings wengine wote ndio maana tumemuwekea wasaidizi wa kumsaidia ikiwemo kumshauri, hawa wasaidizi ndio hawamsaidii ipasavyo!.

Kama ashauriki unafanyaje utamlazimisha kama nani?
Wako watu wameumbwa hivyo hadi janga kubwa litokee.
Na wakati mwingine hata likitokea hawabadirishi msimamo,wanabaki ngangali hadi mwisho.
Paskali kumbuka kuwa Uraisi hauna ubia.
 
Rais Magufuli ana washauri wazuri tuu na anashauriwa vizuri.
P

..nadhani anahitaji Press Secretary mwingine.

..niliwahi kukumbusha kuhusu waandishi wa habari wa ikulu waliopita kama kina Hashim Mbita, Paul Sozigwa, Benjamin Mkapa, Sammy Mdee, Habib Halahala, Patrick Chokala, Geoffrey Nkurlu, ..

..hao watangulizi wasingeweza kuingilia masuala ya familia ya Raisi na kuyatangaza kama alivyofanya Bw.Gerson Msigwa hivi majuzi wakati wa sakata la kuwatoa kifungoni wabunge wa CDM.

..Au kumrekodi Raisi akiwa ana-relax juu ya mawe wakati huu wa janga la covid-19.

..na kumrekodi na kumtangaza Raisi akiwa na Babu Seya na Papii, ambao ni convicted child molesters and pedophiles.

..kwa mtizamo wangu Raisi anatakiwa ateue Press Secretary anayeelewa umuhimu wa kulinda heshima na image ya Raisi.

cc Nguruvi3
 
Mkuu Joka Kuu, kama unadhani ni dogo ndiye anamshauri, utakuwa unamuonea tuu bure dogo, ila nakubaliana na wewe, pale palihitaji mijitu mi bold yenye uwezo wa kumkatalia boss kuwa this is not right, hata kama the boss is always right,
Mimi sikuile anaparamia majabali niliuliza kwa nini ahutubie taifa siku ya Jumapili ambayo ni siku ya mapumziko ndio angepumzika na kupanda majabali, halafu Monday siku ya working day ndipo akahutubia taifa!.

P
 
Siyo lazima Magufuli wetu aende New York, na mama yetu Suluhu Makamu wetu wa Raisi kazi yake ni ipi? Hiyo ndiyo kazi yake kama ukiniuliza mimi , hivyo hata New York pia ataenda Makamu wetu Raisi kama hauupendi huwo utaratibu basi pole, na jipangeni mbadilishe Serikali 2020 muweke Eurocentric people kama Membe, fisadi Lowasa au sijui Rostam Aziz lkn mpka 2020 Magu wetu runs the show!

Lowasa na Rostam ni mafisadi au ccm wasafi?
 
Mkuu Joka Kuu, kama unadhani ni dogo ndiye anamshauri, utakuwa unamuonea tuu bure dogo, ila nakubaliana na wewe, pale palihitaji mijitu mi bold yenye uwezo wa kumkatalia boss kuwa this is not right, hata kama the boss is always right,
Mimi sikuile anaparamia majabali niliuliza kwa nini ahutubie taifa siku ya Jumapili ambayo ni siku ya mapumziko ndio angepumzika na kupanda majabali, halafu Monday siku ya working day ndipo akahutubia taifa!.

P
..nadhani anahitaji Press Secretary mwingine.

..niliwahi kukumbusha kuhusu waandishi wa habari wa ikulu waliopita kama kina Hashim Mbita, Paul Sozigwa, Benjamin Mkapa, Sammy Mdee, Habib Halahala, Patrick Chokala, Geoffrey Nkurlu, ..

..hao watangulizi wasingeweza kuingilia masuala ya familia ya Raisi na kuyatangaza kama alivyofanya Bw.Gerson Msigwa hivi majuzi wakati wa sakata la kuwatoa kifungoni wabunge wa CDM.

..Au kumrekodi Raisi akiwa ana-relax juu ya mawe wakati huu wa janga la covid-19.

..na kumrekodi na kumtangaza Raisi akiwa na Babu Seya na Papii, ambao ni convicted child molesters and pedophiles.

..kwa mtizamo wangu Raisi anatakiwa ateue Press Secretary anayeelewa umuhimu wa kulinda heshima na image ya Raisi.

cc Nguruvi3
Hata hao walikuwa wadogo kwa marais

Msingi ni tabia binafsi ya rais,
Sifa kutukuzwa ni sehemu ya mahitaji yake na ndiyo maana "
Serikali ya awamu ya tano, kishindo cha ser, utekelezaji wa, Tanzania ya viwanda, " na watumishi wanalazimishwa kutamka hivyo kila wanapoongea na umma

Ni ngumu hata ungekuwa wewe mayala ungeenda na mfumo huo, watangulizi walijua maisha ya ikulu na matokeo ya urais kwani ni jeraha la moyo ( trauma)

Rais wetu angeota ndoto hizi za urais angalau miaka 5 kabla ya kuchaguliwa angekuwa rais bora kabisa( mabadiliko ya nchi ni ideas za rais toka nyuma na si matokeo ya kushindwa kusimamia kwa wale wenye dhamana)

Pia rais wetu anaokena hawaogopi wananchi wake kwa kauli za kudharau public opinions, unyonge wao ktk shida majanga, kejeli kwa umma na wageni ( mabeberu)

Ikulu ni omniscient lkn haionekani
 
Wanabodi,
huyu sasa sio Magufuli tuu bali ni Magufuli na ni rais Magufuli. Anapozungumza, lazima awe na uwezo wa kutenganisha ni wakati gani anazungumza kama mtu binaadamu anayeitwa John Pombe Joseph Magufuli, na ni wakati gani anazungumza kama rais wa JMT, ambaye ni John Pombe Magufuli.

Hawa ni watu wawili tofauti. John Pombe Magufuli ni mtu ni binadamu hivyo ana uhuru wake kuzungumza lolote, popote na kwa yeyote. Huyu ni mtu kama mtu mwingine yeyote na anao uhuru wa kuongea chochote kama ulivyotolewa na kipengele cha freedom of speech and expression kwenye katiba yetu.

Lakini Magufuli anapoongea kama rais wa JMT, hapa hawezi kuongea chochote kwa sababu urais ni taasisi na mamlaka, hivyo kauli yeyote ya rais ni amri yenye mamlaka, authority. Hivyo hawezi tuu kujisemea chochote na popote na hapa ndipo anapohitaji wasaidizi wa kumsaidia aseme nini na wapi.
. Hata akihutubia kwa Kiswahili bado atasoma Hotuba rasmi na sio kutoa kichwani, hili likifanyika la rais kuhutubia kwa kutumia hotuba aliyoandikiwa, kama kutatokea maneno ya hovyo katika hotuba hizo za kuandikiwa, then tutajua kumbe hili la rais kutamka baadhi ya maneno ambayo sio, tatizo sio la rais Magufuli, bali ni la waandishi wake wa hotuba. Lakini akisoma hotuba aliyoandikiwa na kusisikike maneno ya hovyo hovyo, then hapa mtakubaliana na mimi, tatizo litakuwa wapi!.
Paskali
Leo Machi 17 ambayo ni Magufuli Day, nadurusu baadhi ya mabandiko yangu humu kumhusu JPM huku nikitafakari, if I was right or I was wrong.
Kwa vile kila zama na zama zake, Pumzika kwa Amani Magufuli wetu huko ulipo.
RIP JPM
Paskali.
 
Wanabodi,

Leo siku ya Machi 17 ndio siku Taifa tulipotangaziwa kifo cha Shujaa wetu JPM, hivyo katika kumkumbuka, na kumuenzi, mnaonaje tukijikumbusha baadhi ya mabandiko ambayo tulimshauri JPM na ushauri huo ukafanyiwa kazi, kwa kutaja Bandiko, ulishauri nini, na nini kilikuja kufanyika kwa ushauri huo, na jee kulisaidia JPM? Kulisaidia nini?

Kwa vile JPM alikuwa ni mbabe kwa kufanya baadhi ya mambo kibabe, hadi kutafsiriwa ni dikiteta, hivyo baadhi ya ushauri kwa JPM pia ulitolewa kibabe kwa kumpiga Spana za kutosha, ila tukubali tukatae, Spana za JF zilimsaidia sana JPM na kulisaidia taifa.

Kumuenzi JPM, naomba tujikumbushe baadhi ya mabandiko, tuliwahi kushauri nini kwa kuandika nini na kutoa ushauri wa nini kifanyike, na kufuatia ushauri huo, nini kilifanyika na jee kilimsaidia JPM?kilimsaidia kivipi?. Jee kililisaidia taifa?, kililisaidia kivipi?

Hili ni moja ya mabadiliko hayo ambalo limemsaidia sana na kulisaidia taifa.

Na mwisho kwa vile sasa Samia ndie Rais wetu, JF tunapaswa kuendelea kutimiza wajibu wetu kwa kumsaidia Samia, kwa vile JPM alikuwa ni rais mbabe vivyo hivyo ushauri ulitolewa kibabe, lakini Samia no Mtaratibu, mstaarabu, jee licha ya utaribu na ustaarabu, Mama Nate tumpige Spana kama za JPM? au twende naye taratibu kama alivyo, kwa Mama iwe ni kumkuna tuu, na tusimpare kama alivyo shauri mwenyewe, kuwa ukinikuna vizuri nitakukuna ila ukinipara, nitakuparua?

Mabandiko mengi ya kuwakumbuka marehemu huishia kwa RIP kumuomba Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi kwavile wanakuwa hawajui marehemu yuko wapi,, lakini mimi kwa vile tayari nimeisha kulishwa JPM yuko wapi Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani bado kuna haja ya kuendelea kumuomba Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi huku tayari najua yuko peponi?.

Pumzika Magufuli Pumzika! Tutakukumbuka Daima!

Paskali!
 
Back
Top Bottom