Br p sijaelewa mbowe anaomba maridhiano gani ,hivi kwani siasa ni lazimaWanabodi, msikilizeni jinsi rais Magufuli anavyohutubia vizuri wakati anaposoma hotuba aliyoandikiwa. So far hotuba hii mpaka hapa alipofikia, is one of the best. Akisoma mwanzo mwisho bila kuchomekea, he will be the best, ila kwa vile bado anahutubia, huwezi jua atachomokea nini.
Lets hope for the best, chochote atakacho chomekea ni kuendeleza uzalendo na Umoja wa kitaifa.
Hongera sana Magufuli
Mungu Ibariki Tanzania.
P
Makubwa gani ?Nimesikia Lipumba na Mbowe wameongea makubwa.
Rais Magufuli ana washauri wazuri tuu na anashauriwa vizuri.Huyu jamaa sijui kama kweli ana washauri, na kama anao inabidi watupwe selo fasta maana kazi imewashinda!
Mkuu TumainiEl, hatukuchagua malaika, tumemchagua binadamu, hivyo can make mistakes kama human beings wengine wote ndio maana tumemuwekea wasaidizi wa kumsaidia ikiwemo kumshauri, hawa wasaidizi ndio hawamsaidii ipasavyo!.Mzee P unajuwa mada zako zinatuvuruga sana? Hivi nikuulize as now tatizo ni mawaziri au Rais?
Kama ashauriki unafanyaje utamlazimisha kama nani?Mkuu TumainiEl, hatukuchagua malaika, tumemchagua binadamu, hivyo can make mistakes kama human beings wengine wote ndio maana tumemuwekea wasaidizi wa kumsaidia ikiwemo kumshauri, hawa wasaidizi ndio hawamsaidii ipasavyo!.
P
Rais Magufuli ana washauri wazuri tuu na anashauriwa vizuri.
P
Rais Magufuli ana washauri wazuri tuu na anashauriwa vizuri.
P
Mkuu Joka Kuu, kama unadhani ni dogo ndiye anamshauri, utakuwa unamuonea tuu bure dogo, ila nakubaliana na wewe, pale palihitaji mijitu mi bold yenye uwezo wa kumkatalia boss kuwa this is not right, hata kama the boss is always right,..nadhani anahitaji Press Secretary mwingine.
..niliwahi kukumbusha kuhusu waandishi wa habari wa ikulu waliopita kama kina Hashim Mbita, Paul Sozigwa, Benjamin Mkapa, Sammy Mdee, Habib Halahala, Patrick Chokala, Geoffrey Nkurlu, ..
..hao watangulizi wasingeweza kuingilia masuala ya familia ya Raisi na kuyatangaza kama alivyofanya Bw.Gerson Msigwa hivi majuzi wakati wa sakata la kuwatoa kifungoni wabunge wa CDM.
..Au kumrekodi Raisi akiwa ana-relax juu ya mawe wakati huu wa janga la covid-19.
..na kumrekodi na kumtangaza Raisi akiwa na Babu Seya na Papii, ambao ni convicted child molesters and pedophiles.
..kwa mtizamo wangu Raisi anatakiwa ateue Press Secretary anayeelewa umuhimu wa kulinda heshima na image ya Raisi.
cc Nguruvi3
Siyo lazima Magufuli wetu aende New York, na mama yetu Suluhu Makamu wetu wa Raisi kazi yake ni ipi? Hiyo ndiyo kazi yake kama ukiniuliza mimi , hivyo hata New York pia ataenda Makamu wetu Raisi kama hauupendi huwo utaratibu basi pole, na jipangeni mbadilishe Serikali 2020 muweke Eurocentric people kama Membe, fisadi Lowasa au sijui Rostam Aziz lkn mpka 2020 Magu wetu runs the show!
Mkuu Joka Kuu, kama unadhani ni dogo ndiye anamshauri, utakuwa unamuonea tuu bure dogo, ila nakubaliana na wewe, pale palihitaji mijitu mi bold yenye uwezo wa kumkatalia boss kuwa this is not right, hata kama the boss is always right,
Mimi sikuile anaparamia majabali niliuliza kwa nini ahutubie taifa siku ya Jumapili ambayo ni siku ya mapumziko ndio angepumzika na kupanda majabali, halafu Monday siku ya working day ndipo akahutubia taifa!.
P
Hata hao walikuwa wadogo kwa marais..nadhani anahitaji Press Secretary mwingine.
..niliwahi kukumbusha kuhusu waandishi wa habari wa ikulu waliopita kama kina Hashim Mbita, Paul Sozigwa, Benjamin Mkapa, Sammy Mdee, Habib Halahala, Patrick Chokala, Geoffrey Nkurlu, ..
..hao watangulizi wasingeweza kuingilia masuala ya familia ya Raisi na kuyatangaza kama alivyofanya Bw.Gerson Msigwa hivi majuzi wakati wa sakata la kuwatoa kifungoni wabunge wa CDM.
..Au kumrekodi Raisi akiwa ana-relax juu ya mawe wakati huu wa janga la covid-19.
..na kumrekodi na kumtangaza Raisi akiwa na Babu Seya na Papii, ambao ni convicted child molesters and pedophiles.
..kwa mtizamo wangu Raisi anatakiwa ateue Press Secretary anayeelewa umuhimu wa kulinda heshima na image ya Raisi.
cc Nguruvi3
Leo Machi 17 ambayo ni Magufuli Day, nadurusu baadhi ya mabandiko yangu humu kumhusu JPM huku nikitafakari, if I was right or I was wrong.Wanabodi,
huyu sasa sio Magufuli tuu bali ni Magufuli na ni rais Magufuli. Anapozungumza, lazima awe na uwezo wa kutenganisha ni wakati gani anazungumza kama mtu binaadamu anayeitwa John Pombe Joseph Magufuli, na ni wakati gani anazungumza kama rais wa JMT, ambaye ni John Pombe Magufuli.
Hawa ni watu wawili tofauti. John Pombe Magufuli ni mtu ni binadamu hivyo ana uhuru wake kuzungumza lolote, popote na kwa yeyote. Huyu ni mtu kama mtu mwingine yeyote na anao uhuru wa kuongea chochote kama ulivyotolewa na kipengele cha freedom of speech and expression kwenye katiba yetu.
Lakini Magufuli anapoongea kama rais wa JMT, hapa hawezi kuongea chochote kwa sababu urais ni taasisi na mamlaka, hivyo kauli yeyote ya rais ni amri yenye mamlaka, authority. Hivyo hawezi tuu kujisemea chochote na popote na hapa ndipo anapohitaji wasaidizi wa kumsaidia aseme nini na wapi.
. Hata akihutubia kwa Kiswahili bado atasoma Hotuba rasmi na sio kutoa kichwani, hili likifanyika la rais kuhutubia kwa kutumia hotuba aliyoandikiwa, kama kutatokea maneno ya hovyo katika hotuba hizo za kuandikiwa, then tutajua kumbe hili la rais kutamka baadhi ya maneno ambayo sio, tatizo sio la rais Magufuli, bali ni la waandishi wake wa hotuba. Lakini akisoma hotuba aliyoandikiwa na kusisikike maneno ya hovyo hovyo, then hapa mtakubaliana na mimi, tatizo litakuwa wapi!.
Paskali