Naamini serikali itakuja kuomba msamaha direct or indirect but najua hili swal linawaumiza

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,124
Reaction score
1,459
Najua serikali hili swala linawamiza sana sema ndo hivo nani amfunge paka kengele? Aje hadharani atubu ni ngumu ila kuna mambo watafanya indirect mazuri na wananchi watasahau alafu maisha yatendelea naomba tumpe mama mda alafu tuone najua anaumia ndo mana Mapaka leo bdo hajaja Dar..

Wamekuja kwa njia ya Maridhiano ila bado naombeni tena tarehe 9 tusitoke tuipe mda.
 
Who shall we get to put a bell around cat's neck?
 
Dah jamaa umejiona umeongea boonge la hoja ya kizalendo kumbe utopolo tupu
 
Kipi kilichoonesha kuwa ameumia?
Mtu anayesema polisi wa CCM akikupiga risasi 3 akakukosa, atawajibika ndiyo aumie leo hii? Katili huwa hana huruma na na hana hisia za kuumia kwa asiye ndugu yake wa damu.
 
Najua serikali hili swala linawamiza sana sema ndo hivo nani amfunge paka kengele? Aje hadharani atubu ni ngumu ila kuna mambo watafanya indirect mazuri na wananchi watasahau alafu maisha yatendelea naomba tumpe mama mda alafu tuone najua anaumia ndo mana Mapaka leo bdo hajaja Dar..

Wamekuja kwa njia ya Maridhiano ila bado naombeni tena tarehe 9 tusitoke tuipe mda.
unasubiri meli airport hivi unajua maana ya kiburi wewe, kiburi mi mali ya shetani
 
Ndo alivyowatuma eeh...ila msiogope Watanzania ni waoga sana., D9 hakuna mtu wa kuandamana!
 
Niliwaambia kuwa mama hili jambo linamuuma na kasema vijana waachiwe huru
 
Ameshatoa maagizo mengi ila viongozi wa chini hawamsikilizi, hasa polisi ndio kabisaa.
 
Najua serikali hili swala linawamiza sana sema ndo hivo nani amfunge paka kengele? Aje hadharani atubu ni ngumu ila kuna mambo watafanya indirect mazuri na wananchi watasahau alafu maisha yatendelea naomba tumpe mama mda alafu tuone najua anaumia ndo mana Mapaka leo bdo hajaja Dar..

Wamekuja kwa njia ya Maridhiano ila bado naombeni tena tarehe 9 tusitoke tuipe mda.
Aya Makuuuma sikuzote Yanaleta matatizo afu yanajifanya kama yanatatua
 
Back
Top Bottom