The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
Try to gas?Who shall we get to put a bell around cat's neck?
unasubiri meli airport hivi unajua maana ya kiburi wewe, kiburi mi mali ya shetaniNajua serikali hili swala linawamiza sana sema ndo hivo nani amfunge paka kengele? Aje hadharani atubu ni ngumu ila kuna mambo watafanya indirect mazuri na wananchi watasahau alafu maisha yatendelea naomba tumpe mama mda alafu tuone najua anaumia ndo mana Mapaka leo bdo hajaja Dar..
Wamekuja kwa njia ya Maridhiano ila bado naombeni tena tarehe 9 tusitoke tuipe mda.
Aya Makuuuma sikuzote Yanaleta matatizo afu yanajifanya kama yanatatuaNajua serikali hili swala linawamiza sana sema ndo hivo nani amfunge paka kengele? Aje hadharani atubu ni ngumu ila kuna mambo watafanya indirect mazuri na wananchi watasahau alafu maisha yatendelea naomba tumpe mama mda alafu tuone najua anaumia ndo mana Mapaka leo bdo hajaja Dar..
Wamekuja kwa njia ya Maridhiano ila bado naombeni tena tarehe 9 tusitoke tuipe mda.
Haya yatafanyikaaAmeshatoa maagizo mengi ila viongozi wa chini hawamsikilizi, hasa polisi ndio kabisaa.