Naamini serikali itakuja kuomba msamaha direct or indirect but najua hili swal linawaumiza

Acha kuota... serikali hii hii ambayo ni batili na wabunge wa kujiweka wapo wanasherehekea bungeni???? Hawana muda, kipaumbele chao ni kubaki madarani.

Sababu hata hawa wabunge, kungekua na mwenye utu na ubinadamu hata mmoja, usiongeona akiapishwa pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…