Naamka nakuta kaniblock

Naamka nakuta kaniblock

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,066
Reaction score
1,194
Habari wakuu,

Nina mpenzi wangu ambaye nampenda kweli yaani, sasa tumeongea usiku huu kwenye saa mbili hivi akasema atanicheki, ikabidi nijipumzishe naamka usiku huu nakuta nimechezea block bila kujua nini chanzo dah, haya mapenzi haya dah [emoji1787]

1626155301290.png

Sijui ila na wivu sana sijui lkn nn shida maana hivi karibu nimejiunga whatsapp namba nyingine tofauti na yeye alioizoea sasa naamka nakuta kanitext kwenye namba iyo mpya alf kafuta ile text then kaniblock
Hata kama ningekuwa mimi ningekubrock kwa nini uwe na namba nisiyo izoea
 
Aise kesho utupe mrejesho mkuu🤣🤣 wangu tangu ijumaa mpaka jpili ikifika saa mbili usiku simu inazima chaji🤣🤣🤣ila si ni life tu.
 
Sijui ila na wivu sana sijui lkn nn shida maana hivi karibu nimejiunga whatsapp namba nyingine tofauti na yeye alioizoea sasa naamka nakuta kanitext kwenye namba iyo mpya alf kafuta ile text then kaniblock
Mwanaume tena wivu unautolea wapii......au huna nguvuu
 
Back
Top Bottom