"Naamshwa saa 9 ya usiku kufanya tendo la ndoa"

Hayo ni baadhi ya mambo ambayo yapo kwenye ndoa ambayo kama mtu hujaingia bado si raisi kuamini, na yapo mengi na makubwa zaidi ya hayo
 
teh ngoma huwa inaamka saa 9 tu so lazma atege alarm
 
Boflo saluni unafanya nini kama sio msusi halafu punga?
 
Nijuavyo mimi katika ndoa hakuna ratiba maalum yenye muda, ya kufanya majamboz!
Muda wowote ule wafaa, ili mradi kutakuwa na consent ya couple!
 
Huyo mwanaume ana upungufu wa nguvu za kiume; hiyo saa tisa ndio jamaa anaweza kuamka, so he doesn't want to loose chance!
 
Si alikubali kuishi nae kwenye shida na raha. Shida ndo hizo sa..
 

Makubwa. Tendo la ndoa ni kusulubu!
 

Boflo at it again...labda jamaa mida hiyo ndo damu inakuwa imeshuka kiunoni. Si unajua tena ile kitu inaendana moja kwa moja na uwezo wa damu kujaa katika kiungo kile?
hayo mengine Boflo utamshauri huyo Shosti wako unayekutana naye saloon
 
Aisee mida hiyo yaani safi sana kwanza wanaume wengi tunakuwa macho.Unamaliza mambo yako unapumzika kidogo kwa kazi asubuhi na mapema avumilie tu.Angekuwa mke wangu mbona ndoa ingesha mshinda siku nyingi
 
uvivu umemtawala huyo!
Haina muda hiyo..........
 
anayeshangaa haya haijui ndoa , watu wengine mzuka unaanza saa tisa, na huyu dada huenda ni mvivu huwezi kuamka ghafla ukajua saa, alafu wakumbuke kuwa kama wewe ni mwislam au mkristo anayewahi kusari ahasubuhi, kuamka kwa kitu ndio saa zake , hivyo huyu mama uenda ni mama wa ndani analala mapema sana , inabidi abadirishe muda, na wakati hu huo saa 9-10 ndiyo majariwa ya kutengeneza mtoto ndio maana wanawake wengi huzaa usiku.....
 
Jamaa anatafuta utulivu wa hali ya hewa. Kuna nyumba za kupanga unakuta chumba baada ya chumba ni wapangaji tofauti. Vyumba vyenyewe havina ceiling board. Muda huo ni muafaka maana watoto wote wanakuwa wamelala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…