"Naamshwa saa 9 ya usiku kufanya tendo la ndoa"

Khaa,ndo hao wanaume ambao hawajui hata kumuandaa mwanamke yeye ikishasimama basi anataka kuingiza wanakera kweli!Sasa huyo hajui kitu bado usumbufu wa usiku wa manane pyaaaa,
 
Khaa,ndo hao wanaume ambao hawajui hata kumuandaa mwanamke yeye ikishasimama basi anataka kuingiza wanakera kweli!Sasa huyo hajui kitu bado usumbufu wa usiku wa manane pyaaaa,

Mwanamke ukiolewa unatakiwa ulale bila chu*pi rungu likisimama unageuzwa tu shaa lipo ndani utajiandaaga humo humo likiwa ndani
 
Jamaa anatafuta utulivu wa hali ya hewa. Kuna nyumba za kupanga unakuta chumba baada ya chumba ni wapangaji tofauti. Vyumba vyenyewe havina ceiling board. Muda huo ni muafaka maana watoto wote wanakuwa wamelala

Dah i see umenikumbusha mbali wkt naanza maisha nimelala jamaa wakati anamwandaa demu wake si demu akarusha chu*pi juu ikadondokea kwangu chumba kilikuwa hakina ceiling board mi nikajua bomu ndo usingizi ulikuwa unaanza kukolea nilishtuka na kupiga yowe kucheck dah chu*pi imetoka chumba cha mbili
 
Dah! Mbona mimi nikimuamshaga ndio anafurahi mida ya late night ...
 
heheheee! Kwa hiyo baadae uliwarudishia hiyo chp?
 

nilitaka kuandika kitu si kibaya nikkakutana na paw njiani
no jamani naomba tuwekane sawa ndoa nmi taassi ya mtu binafsi na ndio maana kuna ngo zina iba kupita wale wezi wetu wa epa na wengine wako clean mpaka unauliza wametoka mbinguni ama...
Hii ni somo kwa wanawake na wanaume mwanaume ama mwanamke unapoingia kwenye ndoa hiyo ni taasisi yako na mume wako na soln ya matataizo yenu si saloon bali ni mumeo....

Nasema hivi kuwapa wengine somo wasiogope mumeo ana haki ya kukufunua saa yoyote ...na ukweli halisi usiku wa manane kuna raha yake bana asikwambie mtu ..hata shetani huwa anakimbia akiwaona mnafaidi..kinachotokea hapa anatakiwa amwambie mumewe jamani naomba nikueleze usiku huwa sikojoi kama wewe ..kuwa msukule w a mapenzi mwenzio anakojoa we unasafisha hiyo ni laana mpe uwazi na ukweli....katika hil nimeona akuna watu wastaarabu kama wanaume unless aniambie mumewe anarudi usiku sana mida mwingine inakuwa shida...wanauwezo wa kukubadilishia muda hata kama usiku kinabaki costant cha kwako unapewa muda wako

2..swala la speed ni ninyi wawili ndio maana ukiangalia kwenye gari wameanza na 0-240 ama 180 km/h na awajaanza na 2- wakiamamini unaweza fika 240 ukarudi 0..so sioni lawama la maana je ipi kwako unaridhika speed ama medium ama high speed ama low speed ni wewe kumwambia kama mwenzi anachomoka na 240 na anakojoa we unakaa kimya loh kwanza nakupongeza speed zote na ukojoi akiamungu ningempeleka kwa dk...nasema kwa nini speed kubwa wengi wanachelewa kukojoa na wengin wanawake wanapendwa kusuguliwa na sio kuguswa kama wengine wanavyogusa ..speed kubwa inasaidia wanaume kuweza kubana ama kurudisha sperm zilipotoka so nahisi mzee ana maana akuamua hivi hivi ingekuwepo sumatra ya kitandani ningshauri lingine
ongea nae

mwisho nakuwishi all the bset kwenye mazungumzo mema na mumeo ingawa umemsingizia mwenzio wa saloon

teeeteeeeh nikaangalie jamaa waaanavyoaibishwa man u

2..kuna w
 
Mimi hata uniamshe kila baada ya masaa ma4 ndicho kilichonitoa kwetu, kikubwa tu aniandae vema asichubue binti wa mwanaume mwenzie. Popote na saa yoyote mpenzi wangu anapeta.
 
Mapenzi ni maelewano hope wanaweza ongea na kukubaliana zen wakafurahia.
 
Mi nafikiri kuamshwa sa tisa sio tatizo, tatizo ni kwamba hapati enjoyment na ndio maana huyo dada analalamika. Haya toeni maujuzi ya kufurahishana hapo.
 
Huyu BOFLO amebadili ID tu lakini alivyoingia JF alikuwa anajiita BWABWA sasa hapo tafakari na uchukue hatua

huyu jamaa nataka aje akiri hapa kwamba yeye ni nani ili tumjue na tumuelewe akiandika vitu vyake kikekike!
 
huyu jamaa nataka aje akiri hapa kwamba yeye ni nani ili tumjue na tumuelewe akiandika vitu vyake kikekike!

Khaaa....we mtoto wa kiume una nini???

unitue mwana wa mwenzio..

Kuna kuandika kikekike na kiumekiume???
 
ndo maana wanawake wengine wanatoka nje, mwanaume hata hajali kama mkewe anaenjoy aula, mradi kashusha ashiki yake ndo ameona kamaliza loh......

Afanyiwe begi pati huyo...
 
WORD. Sasa watu wengine wakipewa shida, wakinyimwa shida, kweli binadamu haturidhiki.
 
Hii mida ni mwake sana sababu kuna kuwa utulivu wa hali ya juu, wife habanii miguno ya kimahaba anajimwaga vizuuri. Halafu time hizo damu inatembea vibaya mno na kumfanya dushelele aanze kuimba nyimbo za mapambio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…