Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,165
Khaa,ndo hao wanaume ambao hawajui hata kumuandaa mwanamke yeye ikishasimama basi anataka kuingiza wanakera kweli!Sasa huyo hajui kitu bado usumbufu wa usiku wa manane pyaaaa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaa,ndo hao wanaume ambao hawajui hata kumuandaa mwanamke yeye ikishasimama basi anataka kuingiza wanakera kweli!Sasa huyo hajui kitu bado usumbufu wa usiku wa manane pyaaaa,
Jamaa anatafuta utulivu wa hali ya hewa. Kuna nyumba za kupanga unakuta chumba baada ya chumba ni wapangaji tofauti. Vyumba vyenyewe havina ceiling board. Muda huo ni muafaka maana watoto wote wanakuwa wamelala
heheheee! Kwa hiyo baadae uliwarudishia hiyo chp?Dah i see umenikumbusha mbali wkt naanza maisha nimelala jamaa wakati anamwandaa demu wake si demu akarusha chu*pi juu ikadondokea kwangu chumba kilikuwa hakina ceiling board mi nikajua bomu ndo usingizi ulikuwa unaanza kukolea nilishtuka na kupiga yowe kucheck dah chu*pi imetoka chumba cha mbili
kuna siku nilikuwa salon, kulikuwa na mashosti 2 wanaongea, nikawa nimejibanza na wao
hawakuniona . Shosti 1 alikuwa anamuhadithia mwenzake yanayomsibu, alikuwa anamwambia . Nanukuu:-
yaani shosti ,mwenzangu una raha sana, mume wako huwa anasafiri sana, mimi mwenzako
kila siku ikifika saa 9 ya usiku ndio naamshwa na mume wangu anataka nimpe mchezo, halafu ananifanya kwa nguvu hata kileleni huwa sifiki, imekuwa ndio tabia yake hataki mchezo mpake aamke saa 9 ya usiku na kuniamsha, mwenzio sina raha na ndoa, yaani taabu tupu mwisho wa kunukuu
maoni yangu
baada ya kusikia malalamiko ya yule mdada nilipatwa na huzuni kubwa na machozi yalinilengalenga, kumbe hawa dada zetu msione wanameremeta kumbe kuna mijanadume mingine wanawapa mateso makali, jamani si vizuri kumuasha mwenzako saa 9 ya usiku na kuanza kumsulubu, si ustaarabu hata kidogo, wanaume jamani tuwe na roho za huruma, tuwe na imani na hawa viumbe
ni mwanaume anaitwa BOFLO
Huyu BOFLO amebadili ID tu lakini alivyoingia JF alikuwa anajiita BWABWA sasa hapo tafakari na uchukue hatua
Duh hii kashfa nzitoHuyu BOFLO amebadili ID tu lakini alivyoingia JF alikuwa anajiita BWABWA sasa hapo tafakari na uchukue hatua
Khaaa....we mtoto wa kiume una nini???
unitue mwana wa mwenzio..
Kuna kuandika kikekike na kiumekiume???
Ha ha, akiisuguasugua kwenye godoro ndio inasimama, kazi kweli kweli!kazi ipo!!
Au mzee anaamka saa za majambazi???
Yeah ili mradi tu kuwe na maridhiano baina ya pande mbili zote.nyanga ni anytime.Nyie watu mapenzi yanafanywa muda wowote