"Naamshwa saa 9 ya usiku kufanya tendo la ndoa"

Kuna dada tuko ofisi moja..majuzi hivi alikuwa anamhadithia mwenzake kuwa mume wake amerudi usiku na kumlazimisha apike pilau saa 8 usiku.

aha nimependa hii pilau saa nane usiku?"
 
Amna kesi apo. Yeye anataka iwe saa 7.00 pm au mzee aache kazi ili awe na muda wa mambo ayo. Kila ndoa na stail yake. Asitake kuiga stail za jirani yake mwishowe atampopoa bure.
 
kama ni mume wake si aongee naye, na amwambie kuwa mida hiyo siyo conducive kwake? jamani unaishi na mume kama adui yako? yaani huwezi kumwambia unataka/hutaki nini mpaka ukaadithie kwa shost?
 

maandiko yanasema 'MSINYIMANE' kama mwenzake anambaka na yeye mara mojamoja ajitutumue ambake nae afeel utamu wa kubwakwa..... mpenzi wako ni rafiki yako kwa nini ushinde kumweleza pale unapohisi hafanyi sahihi badala yake unaufanya mjadala wa umbea saloon???????/?//
 
Heh judgement umeni disappoint hapo!

Sasa Amyner unadhani hapo kuna njia m'badala?
H a k u n a g a !
Unafikiri kazi ya Chaki ni nini ?
Ni K u a n d i ka tu !
Haiwezi geuka lipstick , kijiko n.k
Msosi usiponipa wakati wa njaa, unategemea uje unipe wakati wa shibe ?
Kwani nala vya mtu ?
Si najilia vyangu. So any time ,
ni mwendo mdundo ! Ulikuja kulala ?
Kulala ni suplimentary tu. Mi sijaoa usingizi .
 
kama ni mume wake si aongee naye, na amwambie kuwa mida hiyo siyo conducive kwake? jamani unaishi na mume kama adui yako? yaani huwezi kumwambia unataka/hutaki nini mpaka ukaadithie kwa shost?

good point; looks like couples nyingi hazina mawasiliano ya kutosha these days; am sure problems nyingi ndani ya mahusiano, including zile nyimbo tulizozizoea za kutofikishwa kileleni, zingeweza kuwa resolved kama couples wangeziweka mezani na kuzijadili kwa uwazi
 
Ni kweli kabisa rutashubanyuma,bora amweleze mmewe ndo itasaidia coz pengine jamaa hajui kama anamboa mkewe.watu tuanatofautiana,wengine kweli mda huo ndo anaenjoy.
 
Mkiachwa taabu.....mkipewa taabu.....usiku shida....mchana jua kali

"The strongest will survive and the weakest will perish"........................kazi ni kwako

Mzee umenena.ndoa maanayake ni game.
 
tehe tehe.....yaani Boflo alinyata kisha akajibanza kusikiliza udaku wa kike! Kweli Boflo kiboko
 
Mwanamke ukikubali usilale na kufuli ili mzee akijisikia mida yoyote aende zake kupaona Mabwepande.Huyo mdada aongee na mumewe kuwa mchezo wa saa 9 haufagilii ili watafute muda muafaka ambao watakubaliana wote kwa pamoja,pia mwanaume ajitahidi kumuandaa mwenzake kabda ya mpambano usio na jezi.
 
kumbe ngono nayo ina ratiba binadamu huwa haturidhiki akiacha utakuja lalama tena hapa hakujali ongea nae huku hutopata jibu
 
kumbe ngono nayo ina ratiba binadamu huwa haturidhiki akiacha utakuja lalama tena hapa hakujali ongea nae huku hutopata jibu

wengine huwa wanabandika ratiba ukutani kupunguza usumbufu... halafu inategwa alarm kabisa kwa ajili ya timing ya tukio teh teh teh
 
nilivyoelewa mimi tatizo la huyu mama si kuamshwa saa 9 usiku, ila ni jinsi tendo lenyewe linavyotendwa. KWA NGUVU na bula kumfikiria mwenzie kua anatakiwa kuenjoy. Ingekua mbabe anaenda kwa mwendo wa taratibu na kumhamasisha mwenzie sidhani kama hata hiyo saa 9 angeiona. Ila vile linafanyika kibabe babe hata ingekua saa 1 usiku, huyu mama pia angeboreka. kaka zangu hebu chukueni muda kuwaandaa hao mawifi zetu. hata kama umemuoa, haina maana wewe kila ukitaka tu upewe. saa nyingine mwenzio hajisikii na hana hamu kabisa ya hilo tendo. lakini kwa vile wewe unajiona kidume, basi unambaka mwenzio. haipendezi jamani. hakuna tendo baya kama lile la "kubali yaishe", maana unasoma gazeti wakati mwenzio anawajibika, ina raha gani. raha wote mshirikiane ikibidi na pole mpeane baada ya mechi.
 
Mambo ya ndoa ni ya wanandoa wenyewe zaidi kumshauri dada afikeje kileleni maana aliye olewa mwili si wake ni wa mwenzie na wamwenzie ni wake na lazima ajiadae muda wote bila sharti na vizuri kujua kwanini saa tisa huenda mapema hataki je muda gani mzuri ni vizuri kujua kwanini saa tisa? na si muda mwingine wanawake wengi wanamatatizo ya kisakolojia hasa ktk suala la mapenzi
mapenzi mlango mpaka komeo liwekwe, watu walale wasiongee je muda huo ni lini kama si saa tisa na kuendelea
huenda mwanamke ama mme anatatizo la kisakolojia bora wafike kwa dr wa saikolojia ili wapate tiba bila hivyo ushauri wote waweza kuwa bure kwasababu hujajua chanzo cha saa tisa
 
Mtoa mada mbona hueleweki? Kuna ukatili gani hapo? kumuamsha mpenzi wako saa tisa kuna ubaya gani....... hapo hakuna ukatili. ila tatizo ninaloliona mimi ni kwa sababu huyo mwanamke hafiki kileleni ndo mana anaona ni mateso na hili ndo jambo la kushugulikia sio muda wa kufanya tendo la ndoa........ mengine siyo ukatili ni mtu kutoshughulika halafu anaona kama anaonewa au kunyanyaswa. Wanawake ni vyema wabadilike coz ulimwengu tulionao wewe ukisema mwanaume wa nini wengine wanasema watampata lini....... watch out
 
love is U.S.A(under skirt activity) and USA is there 4 for two who love each other
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…