Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 758
Kuna dada tuko ofisi moja..majuzi hivi alikuwa anamhadithia mwenzake kuwa mume wake amerudi usiku na kumlazimisha apike pilau saa 8 usiku.
aha nimependa hii pilau saa nane usiku?"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna dada tuko ofisi moja..majuzi hivi alikuwa anamhadithia mwenzake kuwa mume wake amerudi usiku na kumlazimisha apike pilau saa 8 usiku.
Kuna siku nilikuwa salon, kulikuwa na mashosti 2 wanaongea, nikawa nimejibanza na wao
hawakuniona . Shosti 1 alikuwa anamuhadithia mwenzake yanayomsibu, alikuwa anamwambia . nanukuu:-
Yaani shosti ,mwenzangu una raha sana, mume wako huwa anasafiri sana, mimi mwenzako
kila siku ikifika saa 9 ya usiku ndio naamshwa na mume wangu anataka nimpe mchezo, halafu ananifanya kwa nguvu hata kileleni huwa sifiki, imekuwa ndio tabia yake hataki mchezo mpake aamke saa 9 ya usiku na kuniamsha, mwenzio sina raha na ndoa, yaani taabu tupu mwisho wa kunukuu
Maoni Yangu
Baada ya kusikia malalamiko ya yule mdada nilipatwa na huzuni kubwa na machozi yalinilengalenga, kumbe hawa dada zetu msione wanameremeta kumbe kuna mijanadume mingine wanawapa mateso makali, Jamani si vizuri kumuasha mwenzako saa 9 ya usiku na kuanza kumsulubu, si ustaarabu hata kidogo, Wanaume jamani tuwe na roho za huruma, tuwe na imani na hawa viumbe
Heh judgement umeni disappoint hapo!
kama ni mume wake si aongee naye, na amwambie kuwa mida hiyo siyo conducive kwake? jamani unaishi na mume kama adui yako? yaani huwezi kumwambia unataka/hutaki nini mpaka ukaadithie kwa shost?
Mkiachwa taabu.....mkipewa taabu.....usiku shida....mchana jua kali
"The strongest will survive and the weakest will perish"........................kazi ni kwako
kumbe ngono nayo ina ratiba binadamu huwa haturidhiki akiacha utakuja lalama tena hapa hakujali ongea nae huku hutopata jibu