"Naamshwa saa 9 ya usiku kufanya tendo la ndoa"

"Naamshwa saa 9 ya usiku kufanya tendo la ndoa"

Kuna siku nilikuwa salon, kulikuwa na mashosti 2 wanaongea, nikawa nimejibanza na wao

hawakuniona . Shosti 1 alikuwa anamuhadithia mwenzake yanayomsibu, alikuwa anamwambia …. nanukuu:-

" Yaani shosti ,mwenzangu una raha sana, mume wako huwa anasafiri sana, mimi mwenzako

kila siku ikifika saa 9 ya usiku ndio naamshwa na mume wangu anataka nimpe mchezo, halafu ananifanya kwa nguvu hata kileleni huwa sifiki, imekuwa ndio tabia yake hataki mchezo mpake aamke saa 9 ya usiku na kuniamsha, mwenzio sina raha na ndoa, yaani taabu tupu" mwisho wa kunukuu


Maoni Yangu

Baada ya kusikia malalamiko ya yule mdada nilipatwa na huzuni kubwa na machozi yalinilengalenga, kumbe hawa dada zetu msione wanameremeta kumbe kuna mijanadume mingine wanawapa mateso makali, Jamani si vizuri kumuasha mwenzako saa 9 ya usiku na kuanza kumsulubu, si ustaarabu hata kidogo, Wanaume jamani tuwe na roho za huruma, tuwe na imani na hawa viumbe…

We ngoja ukute mwanamke huyo huyo anavomsema vibaya mumewe kwa mashoga zake pale ambapo DUDU imegoma kusimama! Lazina machozi yatakutoka pia!
 
heri uamshwe usiku awe na mzigo wa kawaida ...inauma ile unaamshwa sa 9 halafu mtu anbongeee gotiii utataman kukimbia ndoa....
 
Huyo mshamba sana hajui muda huo ndio mzuri kwa mapenzi yaani nanii inakuwa ya moooootoooo.
 
inategemea ulivo mi kwa kubembeleza mwenzenu napiga magoti huku nalia anacoporate mwenyewe.....mambo ya ndani acheni tuu
 
Ndoa Bwanaaah! Mlilazimishwa au mlikubaliana wenyewe!!!!! Wakae chini waongee! namna gani watafurahia tendo hilo,kwa muda gani,namna gani ili kila mmoja afike kileleni...Alafu Wanaume tujaribu kuGOOGLE namna ya kuwafikisha hawa viumbe kileleni mana mi juzi kati kuna vitu nikamaMISTAKE nilikuwa navifanya lakini baada ya kusoma net najua jinsi gani ya kumfikisha kileleni mpaka awe kama chizi...
 
salon ya kike ukajibanzaje sasa mkuu, pole yake huyo dada, hayo ni mateso kabisaa, kashindwa kusubiria masaa matatu tu kukuche, au mida hiyo ndio jogoo wake anawika!
 
salon ya kike ukajibanzaje sasa mkuu, pole yake huyo dada, hayo ni mateso kabisaa, kashindwa kusubiria masaa matatu tu kukuche, au mida hiyo ndio jogoo wake anawika!

Nami nlitaka kumshauri aache kujibanza saluni za kike. Na huyo jamaa timing yake kama mganga wa kienyeji!
 
wacha waipate jeuri yao,si mnaolewa kama fasheni ilimradi na nyie mmeolewa,ukiolewa kwa mapenzi sidhani mumeo atakuwa least considerate kiasi hicho kila siku akuamshe saa tisa,picha ninayopata hapa ni mmoja kumuona mwengine kama chombo cha starehe...kumtumia apendavyo,na kwakuwa huyo mwingine ameyataka kwa kutaka kuringishia mashosti kuwa na yeye ameolewa....serves her right,other wise....aachie manyanga mbona easy tu???

we utaka nani awe chombo cha starehe kama sio mke.
 
da mchizi noma ila alikuwa anasimulia ili iweje? Maana mwenzie anamaugwadu mchizi huwa anasafiri alitaka apokewe dozi au? Wanawake muda mwengine hawachagui ya kusema. Asipopewa ange lalama anapewa anadai imezidi sa anatakaje? Au alidhani mchizi ni kaka yake lzm kubanjuka kama uwezo unaruhusu
 
Alidhani ni braza wake? Hata bro mwenyewe inabidi kuwa nae makini ndo iwe mume? Mtu ulale nae kila siku akuangalie tu! Sijui expectations zake ilikuwa nini, kama hataki au anaona usumbufu amtafutie kicheche mumewe au akubali ukewenza ili apumzike. Ye anadhani kwa nini wengine wanakubali ukewenza? Inakuwaga hivyo kama huwezi mziki unaleta wadau msaidiane. Tena unakuta wake wenza wengine wanapendana sana!
 
Back
Top Bottom