emailpassword
Member
- Jun 15, 2017
- 99
- 92
Kwa hili la vinywaji free si rahisi kupata baraka. vinywaji juu yetu. huchangaii.
wamikoani mtajioganaizi tunawatumia nauli ila hamtakiwi kuzidi kumiMkuu mbona hujasema kua nani kakutuma? Hv unahisi sisi ni haragwe la mbeya kiasi hcho..
BTW mm nitakuj ila unitumie nauli..
ni cocktail mzee unadhani mtakunywa kusaza hahah tumeingia ubia na sehemu tutayofanyia kuwa tutaleta watu wengi so watanunua vinywajiKwa hili la vinywaji free si rahisi kupata baraka
Kuna kujitambulisha?Nataka nioganaizi JF get together party, tuonane pale wote live, tufahamiane, tupiane michongo, deal, tufurahi, tunywe, wakubambiana na kupata wachumba hapo kazi kwao, Nina watu tayari washasapoti idea yangu, tunaweza pata sehemu nzuri hapa dar. vinywaji juu yetu. huchangaii. what you think about this idea WAKUU. toeni baraka zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa maoni na ushauriAiseeee....[emoji15] [emoji15]
Kama jasiri tumia jina lako halisiNataka nioganaizi JF get together party, tuonane pale wote live, tufahamiane, tupiane michongo, deal, tufurahi, tunywe, wakubambiana na kupata wachumba hapo kazi kwao, Nina watu tayari washasapoti idea yangu, tunaweza pata sehemu nzuri hapa dar. vinywaji juu yetu. huchangaii. what you think about this idea WAKUU. toeni baraka zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
haitaji kujitambulisha kama wewe ndie mshana au mondray au mkuki moyoni, ila uniona umepata Patna unafunguka
wamikoani mtajioganaizi tunawatumia nauli ila hamtakiwi kuzidi kumi
Sent using Jamii Forums mobile app
hata nikiweka hutaamini mkuu.Weka picha yako kwanza tukuoneee
hata nikiweka hutaamini mkuu.
watu huamini kile wanachotaka kuamini tu! ni mwanafalsafa mzuri sana Mimi na najua nadharia nyingi za kuhusu kufurahisha watu nk that's why I stay low key, pretend to be a fool [emoji23][emoji23][emoji23] siwezifanya hivo mkuuWeka nutaamini..
na hata ukiniona huwezi amini ni Mimi?! so who I am?! a magician?! lol now you see meWeka nutaamini..