Naandaa JF GET TOGETHER PARTY

Naandaa JF GET TOGETHER PARTY

emailpassword

Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
99
Reaction score
92
Nataka nioganaizi JF get together party, tuonane pale wote live, tufahamiane, tupiane michongo, deal, tufurahi, tunywe, wakubambiana na kupata wachumba hapo kazi kwao, Nina watu tayari washasapoti idea yangu, tunaweza pata sehemu nzuri hapa dar. vinywaji juu yetu. huchangaii. what you think about this idea WAKUU. toeni baraka zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kujitambulisha?

Kama jasiri tumia jina lako halisi

Naona unataka kuwaingiza watu kwa choo cha watoto.....[emoji47]
 
Weka nutaamini..
watu huamini kile wanachotaka kuamini tu! ni mwanafalsafa mzuri sana Mimi na najua nadharia nyingi za kuhusu kufurahisha watu nk that's why I stay low key, pretend to be a fool [emoji23][emoji23][emoji23] siwezifanya hivo mkuu
 
Aliyekutuma mwambie nimewakosa hawapo.

Mbinu rahisi mno uliyoutumia.
 
Back
Top Bottom