Naandaa JF GET TOGETHER PARTY

Ungetuanzishia group la Whatsapp kwanza

Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
 
Imekaa poa...

Ila shida itakuja kujua nani ndiyo mwenye ID fulani...
inategemea na muitikio wa watu...


cc: mahondaw
 
Multiple IDs kazini

Sijawahi kuona member mpya ana mbwembwe balaa.. JF imesajili viungo machachari kweli

Anyways, ile party ya 7/7 haikufanyika sembuse hii? Ila mkuu ngoja wenzako watakuja
 
Mkuu idea nzuri, nitakuwepo hiyo siku ya party na ntawaandalia shoo moja matata ya mauno kutoka kwa mtoto wa kitanga.
Ila watu mnaogopa bure tu, ukijitambulisha jina lako la huku ndo utajikuta umeamkia ununio kesho yake.
 
Tufike mtuweke kati, mkatufinye kule ununio eeeeeeeh, hatudanganyiki[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

driller⛏⚒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…