Naandaa JF GET TOGETHER PARTY

Naandaa JF GET TOGETHER PARTY

Nataka nioganaizi JF get together party, tuonane pale wote live, tufahamiane, tupiane michongo, deal, tufurahi, tunywe, wakubambiana na kupata wachumba hapo kazi kwao, Nina watu tayari washasapoti idea yangu, tunaweza pata sehemu nzuri hapa dar. vinywaji juu yetu. huchangaii. what you think about this idea WAKUU. toeni baraka zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
these your mindless huhitaji kuletaa hapa Soscial network,ths its around all in/out of Daresalaam..na iko na very widely fans toka sehem mbalimbali leo unaitaka iwe kama Clan yako..tanua hio brain yako Mkuu.
 
Hapa wanatafutwa watu....hivi kwa mfano ikitokea part ikafanyika halafu wakati part inaendelea ghafra wakachukuliwa watu5 kama walivyochukuliwa wakina Roma mkatoliki...halafu wakapelekwa pale makumbusho then ununio....kisago cha nguvu...unafikiri hawatataja Hizi Id's zao za Jf...na majina yao halisi...au hapo wakati part inaendelea aingie kuu la maadui DAB na ile kikosi kazi...halafu wanatanda mlangoni kwamba wanamtafuta mtuhumiwa X...na sharti la kupita pale mlangoni ni kutoa ID yake na Id yako jf...ukikataa unatupwa kwenye defender...hapo inakuwaje ndugu???so mi nahisi huu ni mtego watch out ...
 
Huyo jamaa anatupumzikia au anatuona siye watoto yaani ata kama ningekuwepo siwezi kwenda.
 
Nataka nioganaizi JF get together party, tuonane pale wote live, tufahamiane, tupiane michongo, deal, tufurahi, tunywe, wakubambiana na kupata wachumba hapo kazi kwao, Nina watu tayari washasapoti idea yangu, tunaweza pata sehemu nzuri hapa dar. vinywaji juu yetu. huchangaii. what you think about this idea WAKUU. toeni baraka zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wewe ni member tu....umeingia lini humu....????
 
Mkuu idea nzuri, nitakuwepo hiyo siku ya party na ntawaandalia shoo moja matata ya mauno kutoka kwa mtoto wa kitanga.
Ila watu mnaogopa bure tu, ukijitambulisha jina lako la huku ndo utajikuta umeamkia ununio kesho yake.
Iyo Miuno Mweeeeeehh
 
Dah...
Since June 15 2017...
Tupe ids zako za zamani.... [emoji41] [emoji13] [emoji13]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
 
Mnataka kutupeleka sentro..umetumwa na Bashite eti...
 
Andaa nitakuja.
Hakuna kutaja Id. Nitataja jina fake.
 
Back
Top Bottom