Naandaa kitabu naomba kwa amabaye amewahi kuishi Uingereza au anaishi anasaidie kunijuza mitaa na mambo mengine

Kitabu kinaelezea kijana aliechukuliwa afrika na kupelekwa uingereza na anatakiwa asome shule za awali hadi chuo, hivyo basi naomba kuelekezwa mitaa hasa ile ya kitajiri na sehemu za kupumzika hasa za kutembelea nk.
Anza na mitaa ya Kensington and Chelsea iko London
Kwa habari kamili tumia google maps,Tv nk
Mie hii mitaa niliona ikizungumziwa BBC Lifestlye channel ni kama Masaki/Mikocheni flani hivi
 
Kitabu kinaelezea kijana aliechukuliwa afrika na kupelekwa uingereza na anatakiwa asome shule za awali hadi chuo, hivyo basi naomba kuelekezwa mitaa hasa ile ya kitajiri na sehemu za kupumzika hasa za kutembelea nk.
Una shingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…