Naandaa mgomo mkubwa wa kudai pesa ya field naomba mjitokeze

NAAMINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
672
Reaction score
235
Kutokana na kitendo cha ubabaishaji wa
kuwapatia pesa toka bodi(heslb) mimi NAAMIN nimeazimia kuanzisha mgomo na maandamano ya Pamoja kwa wale wote wanaofanyia field Dar ambao utaifikishia ujumbe serikali,katika mgomo huo,eneo la kukutana litakuwa pale jangwani ambapo nitatoa speech ya saa moja na kujadili ili suala baadae tutaelekea bodi ya mikopo...nipo tayari kwa lolote mana kifo kwangu ni historia na sina wa kunililia...haki upiganiwa na kamwe aiombwi...naomba jumatano saa nne asubuhi wote kwa pamoja tukutane pale jangwani...."ni heri kufa kijana ukaishi mioyoni mwa watu kuliko kufa mzee ukapotea kama mzoga kwa kuwa hujawafanyia watu jambo jema..... HALI NI
NGUMU,KUISHI MAENEO YA FIELD MWEZI MZIMA SASA BILA PESA NI UKIUKAJI WA HAKI ZA BINADAMU........................
Kesho naenda kuomba vibali polisi na wakikataa nguvu ya uma itafanya kazi...vijana ndo taifa la leo na kesho na usikubali kuzalauliwa kwa kuwa u kijana naomba tujitokeze tupiganie haki zetu...wana risasi na mabomu sisi tunaMungu
 
Kutokana na kitendo cha ubabaishaji wa
kuwapatia pesa toka bodi(heslb) mimi NAAMIN
nimeazimia kuanzisha mgomo na maandamano
ya Pamoja kwa wale wote wanaofanyia field Dar
ambao utaifikishia ujumbe serikali,katika mgomo
huo,eneo la kukutana litakuwa pale jangwani ambapo nitatoa speech ya saa moja na kujadili ili
suala baadae tutaelekea bodi ya mikopo...nipo
tayari kwa lolote mana kifo kwangu ni historia na
sina wa kunililia...haki upiganiwa na kamwe
aiombwi...naomba jumatano saa nne asubuhi
wote kwa pamoja tukutane pale jangwani...."ni heri kufa kijana ukaishi mioyoni mwa watu
kuliko kufa mzee ukapotea kama mzoga kwa
kuwa hujawafanyia watu jambo jema..... HALI NI
NGUMU,KUISHI MAENEO YA FIELD MWEZI MZIMA
SASA BILA PESA NI UKIUKAJI WA HAKI ZA
BINADAMU...................... .. Kesho naenda kuomba vibali polisi na wakikataa
nguvu ya uma itafanya kazi...vijana ndo taifa la
leo na kesho na usikubali kuzalauliwa kwa kuwa
u kijana naomba tujitokeze tupiganie haki
zetu...wana risasi na mabomu sisi tunaMungu
 
Ahsante Boss, naunga mkono. Hatuwezi kuishi kwa kubabaisha wakati mambo yanaweza kurekebishwa. Ntakuwepo jangwani.
 
Ahsante Boss, naunga mkono. Hatuwezi kuishi kwa kubabaisha wakati mambo yanaweza kurekebishwa. Ntakuwepo jangwani.

karibu sana kamanda kama tahliso wameshindwa ngoja wanaharakati tuandae...nimeshavaa mabomu nipo tayari kutetelesha nchi hiyo jumatano
 
Hatupaswi kulalamikia chini ya kapeti, tutasahaulika hadi lini. Ifike wakati thamani ya wasomi ionekane. Na agenda ya maandamano iwe kudai kwamba hadhi ya msomi itambulike, mahitaji yake yapewe kipaumbele ili aje kuhudumia taifa kwa uaminifu. Kwa mwenendo wa sasa tunajenga watu wenye hasira wanaongojea lini zamu yao itafika wakandamize wengine. For the sake proffesionalism asikosekane hata mmoja.
 
Hahahaa wonders shall never end


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…