NAAMINI
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 672
- 235
Kutokana na kitendo cha ubabaishaji wa
kuwapatia pesa toka bodi(heslb) mimi NAAMIN nimeazimia kuanzisha mgomo na maandamano ya Pamoja kwa wale wote wanaofanyia field Dar ambao utaifikishia ujumbe serikali,katika mgomo huo,eneo la kukutana litakuwa pale jangwani ambapo nitatoa speech ya saa moja na kujadili ili suala baadae tutaelekea bodi ya mikopo...nipo tayari kwa lolote mana kifo kwangu ni historia na sina wa kunililia...haki upiganiwa na kamwe aiombwi...naomba jumatano saa nne asubuhi wote kwa pamoja tukutane pale jangwani...."ni heri kufa kijana ukaishi mioyoni mwa watu kuliko kufa mzee ukapotea kama mzoga kwa kuwa hujawafanyia watu jambo jema..... HALI NI
NGUMU,KUISHI MAENEO YA FIELD MWEZI MZIMA SASA BILA PESA NI UKIUKAJI WA HAKI ZA BINADAMU........................
Kesho naenda kuomba vibali polisi na wakikataa nguvu ya uma itafanya kazi...vijana ndo taifa la leo na kesho na usikubali kuzalauliwa kwa kuwa u kijana naomba tujitokeze tupiganie haki zetu...wana risasi na mabomu sisi tunaMungu