Kila nikikaa kuangalia maisha ya mtu mweusi ulimwenguni, moyo unauma na hakuna dalili kuwa mtu mweusi akuja kuishi kwa furaha.
Tatizo lipo kwenye Ubongo wa walio wengi. Sample za kina Nyerere, Thomas Sankara, Lumumba, Nkrumah, Magufuli ni chache sana na zipinapigwa vita nje ndani.
Waafrika hawana vipaumbele.
Hawafikirii miaka ijayo
Akili zinawaza upigaji tu.
Hivi tunawezaje kujenga viwanja vya michezo kwa mabilioni ya pesa na shida zetu bado nyingi sana? Na mambo mengine mengi tu watu wanaweka mi budget ya kufa mtu ili mradi wapige tu.
Viongozi ifikirieni Tanzania bora.
Tanzania yenye shule nzuri na walimu bora,
Tanzania yenye hospitali nzuri na madaktari bora,
Tanzania yenye wakulimu wanaolima kisasa, sio hawa waliochoka,
Tanzania yenye barabara nzuri,
Tanzania yenye umeme na maji ya uhakika,
Tanzania yenye wafanyakazi wanaomudu maisha yao kila siku. Sio hawa wanaokula Miguu ya kuku na wameajiriwa na serikali tena ni wana Vyeti vya chuo kikuu.
Kwa ufupi tunataka Tanzania bora