Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unatucheka leo?ngoja tuone omog kesho atakavyopakatwa na mashabiki wa simba akifungwaUsihofu Manji yuko uraiani HV sasa......tehe tehe tehe.
We umejuaje!?Wote mnaojadili hapa ni mashabiki wa matopeni mnaojifanya Yanga.
Cdhani kama ni sahihi kumlaumu kocha yeyote kwa mpira utaochezwa kwenye viwanja vya Njombe Mji na Majimaji. Timu nzuri hutegemea kiwanja tambarare (plane), chenye nyasi zilizotandawaa na kilicho laini (soft) ili timu inayotandaza soka ardhini ifanye hivyo bila kuathiriwa na uwanja, inayocheza kwa mashambulizi ya kujibiza (counter-attack) imudu kufanya hivyo kwa kasi iitakayo bila ya kuziwiliwa na mabondemabonde ya uwanja, inayocheza mpira wa kutumia nguvu isiangushwe na ugumu ama mabondemabonde ya kiwanja na inayocheza mipira mirefu ama ya juu isiathirike kwa wachezaji wake kuhofia kuumia wanapofika chini baada ya kuwania mipira ya juu. Viwanja vya Majimaji na Njombe vina kasoro zote hizo. Kumbuka hata Cannavaro alitangulia kuelezea ugumu wa mechi ya Majimaji kutokana na hali ya kiwanja hata kabla ya siku ya mechi. Kumbuka Kamusoko ameumia nyonga kutokana na ugumu wa kiwanja cha Njombe. Kumbuka hata ikiwa na Pluijm Yanga iliambulia sare mara kadhaa kiwanjani hapo. Kumbuka hata ikiwa na Pluijm Yanga haikufanya vizuri kwenye kiwanja chengine chenye hali kama hiyo cha Ndanda. Angalau wenyeji wa viwanja hivyo wana ka-natija (advantage) kadogo ka kuwa wameshavizowea. Lakini kwa timu zilizo kwenye daraja moja, ushindi kwenye viwanja kama hivyo unategemea bahati zaidi kuliko uwezo. Na huenda ndio kichocheo kimojawapo cha rushwa kutumika ili timu ijihakikishie ushindi.Mie yanga damu ila tubishe tulete ushabiki yanga hatuna team ya ushindani kwa sasa tuombe Mungu wenzetu msimbazi wabaki hivyo hivyo na usajili wao wa pesa nyingi na kocha huyo huyo labda nasema labda itakuwa ahuweni kwetu Jangwani