Naangalia TBC muda huu anasifiwa Magufuli tu

Naangalia TBC muda huu anasifiwa Magufuli tu

Ulitaka asifiwe nani
NAANGALIA TBC MUDA HUU ANASIFIWA MAGUFULI TU na kwaya.

Muimbaji anasema watoto Sasa hivi madarasani hawakai chini kwa sababu Magufuli amefuta hili tatizo.

Pia Hilo jamaa Nene jeusi lenye mtambi linasema Sasa hatukopi Tena na bakuli la ombaomba liko kabatini. Ila ni Jana hapa tumeambiwa mkopo wa world Bank dola 500 tulizozililia unakuja.

Anyway nikusifu tu hapa hongera TBC.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliacha kuangalia tangu mwaka 1995..
Wapuuzi sn hao hawana faida yoyote kwa taifa
 
Back
Top Bottom