kutwa mara 3
Member
- Jan 21, 2022
- 9
- 17
Naandika kwa uchungu sana..
Yapata muda mrefu sana nilikua na mpenzi wangu na nilitarajia kumuoa hivi karibuni, ila kabla ya kuoana tulikua tunatafuta mtoto na nilitoa unabii mtoto wa kwanza atakua ni wakike na kweli kawa wa kike kama nilivyo nena..
Kilichotokea ni hivi mahusiano yetu yalijengwa sana katika misingi ya imani kwa Mwenyezi Mungu na Mungu alitujalia tukavuka mpaka hapa..
Cha ajabu sana ni kwamba alipokua mjamzito wa mimba changa alijichanganya na kwenda kukutana na mwanaume mwingine ambae alimlagai kwa nguvu alizo amuakuzitumia yeye sijui kama ni zagiza au laha hasha?;!! Ikabidi ampe ule ujauzito , nilikua mpole na sikua na haraka niliacha mtoto azaliwe na alipo kua na miezi kadhaa tuliamua kwenda kupima nae Vipimo vya DNA kutokana na yeye aliniambia hakutoa mimba wala mimba haiku haribika .. Majibu yalitoka na niliambiwa na uhusiano wa vinasaba mara nne (4) na mtoto... japo sijafika asilimia za kua baba wa mtoto.
Nilipiga tathimini za kidunia nikapanga nimtelekeze abaki na huyo baba mwingine lakini mpaka sasa moyo na nafsi vimekataa kabisa kumkana mtoto na huyu mama yake, nimeingia kwenye maombi nikiomba na kufunga kama kunanguvu yeyote ikatike lakini cha ajabu moyo na nafsi bado vimekataa kukana mtoto na kila nikifikiria nasikia sauti inaniambia usifanye hivyo ni wa kwako nimeomba sana nimechoka imani inafika ukingoni nimejaribu kufanya maamuzi kidunia nafsi inanisuta sana na nikimwona mtoto na mam yake moyo unauma na sikia moto unachoma nafsini na sauti inaniambia ni wa kwangu japo na jaribu kushupaza kichwa ila hiyo kelele inapiga sana kichwani na ndani ya moyo wangu kuwa nisiwakane ni wachukue ni wangu nikaishinao..
Mara ya Mwisho nimeomba nikamwambia Mungu kama nimipango yako basi nikikaa nao pamoja tuwe na amani .. cha kushangaza Amani inatawala utafikiria hakuna kilichotokea kabisa kabisa hali iliyo nifanya nimebaki njia panda kabisa kabisa yani nipo kama nimepigwa giza machoni nuru hakuna mbele sioni kabisa bali naona hii ndio familia yangu na mke wangu na sii mwingine mwenye huyu mtoto bali ni mimi.
Naombeni sana mnishauri nifanyeje maana kiukweli sijui kwanini imekua hivi mpaka nahisi nikitumia nguvu kuwatelekeza hasahasa mtoto nitapata laana kubwa sana naombeni mnipe msaada wa kiroho na kimwili.. asanteni sana