Cha ajabu sana ni kwamba alipokua mjamzito wa mimba changa alijichanganya na kwenda kukutana na mwanaume mwingine ambae alimlagai kwa nguvu alizo amua kuzitumia yeye sijui kama ni zagiza au laha hasha?;!! Ikabidi ampe ule ujauzito , nilikua mpole na sikua na haraka niliacha mtoto azaliwe
Mara ya Mwisho nimeomba nikamwambia Mungu kama nimipango yako basi nikikaa nao pamoja tuwe na amani .. cha kushangaza Amani inatawala utafikiria hakuna kilichotokea kabisa
kuna sehemu 2 hizo hapo juu zinaonesha haupo sahihi na umepotoka
Ya kwanza ulivyoandika ni kama unaamini huyo mwanamke alirogwa na nguvu za giza....the answer is Nooo, Sio rahisi kumroga mtu mwenye Mungu [kama ulivyoelezea kuwa mmeish8 katika misingi ya Mungu]
bali hiyo tabia ya kuchange wanaume sababu ya tamaa ya Pesa, ndio tabia halisi ya huyo mwanamke wako [kubali kataa sio rahisi kumroga mtu akupende sip rahisi eti hadi mimba akampa huyo mwanaume nawewe unaamini karogwa] mbona ulienda nae kupima DNA unajua kama alirogwa basi angekukataa mazima ila inaonekana mlikuwa na mawasiliano akiwa kwa huyo jamaa mwingine......
Hiyo ya chini niliyoquote ukae ukijua hata shetani anajibu maombi .....
Yohana 8:44-45
[44]Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo.
[45]Nami, kwa sababu nasema iliyo kweli, hamnisadiki.....
Shetani anajaribu kukuweka karibu na huyo dada sababu hakuna mafanikio mbeleni na yeye anapenda uhangaike...
Yani mtu mwenye mimba, akaenda kwa mwanaume mwingine nawewe unasema ni sawa sababu unaamini alirogwa......biblia yenyewe inasema tuishi nao kwa akili mkuu hebu tulia chini angalia maisha yako.....Pia kumbuka Mungu hapendi uzinzi