Naangamia naombeni msaada kukwepa hii laana

Aisee, hakuna kitu ambacho hakivumiliki kama usaliti. We umewezaje kuvumilia mkuu?. Anyway, zidi kumshirikisha Mungu kupitia maombi Ili akupe nguvu zaidi na njia sahihi ya kulitatua Hilo jambo. Pole Sana .
Mimi mwenyewe na shangaa na kila mtu ananishangaa nimewezaje , na amani inatawala kabisa kama hakuna kilichotokea, ila nikitaka kuwatelekeza moyo na nafsi vinagoma kabisa kabisa.. nimejaribu mara kadhaa nimeshindwa kabisa kufanya hivyo
 
Una muda mrefu sana hujalala
Na mwanamke mpya embu tafuta mwanamke mwingine achana nae huyo ashatumika. Usimwonee huruma mwanamke aliyekusaliti atakuua.
 
Mimi mwenyewe na shangaa na kila mtu ananishangaa nimewezaje , na amani inatawala kabisa kama hakuna kilichotokea, ila nikitaka kuwatelekeza moyo na nafsi vinagoma kabisa kabisa.. nimejaribu mara kadhaa nimeshindwa kabisa kufanya hivyo
Basi sikiliza moyo wako unasemaje mkuu. Kaa nao tu na msamehe. Maana apa duniani amani ndiyo inayotakiwa ktk familia zetu.

Lakini unatakiwa kuwa makini Sana na huyo bidada, muda wwte ule anaweza akakucheat upya na kilio kikaja upya. Maana kama ameokoka tu lkn bd akaenda chepuka, je uko mbeleni itakuwaje?. Pole Sana, binadamu hatujakamilika.
 
Kama Mungu ameshindwa kukushauri na ukashindwa kumuelewa sisi walimwengu tulio dhikini utatupalia dhambi zako ziwe juu yetu.

Msikilize sir God only
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi mwenyewe na shangaa na kila mtu ananishangaa nimewezaje , na amani inatawala kabisa kama hakuna kilichotokea, ila nikitaka kuwatelekeza moyo na nafsi vinagoma kabisa kabisa.. nimejaribu mara kadhaa nimeshindwa kabisa kufanya hivyo
Huyo mwanamke anasema kwakweli nimepata lofa. Kama ni limbwata hili limekolea.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umetisha mkuu!
 
Acha na wao washike nafasi pengine ndio watakaoanzisha njia ya ukombozi wa pili.
 
Wewe unahitaji muda bado wa kuamua,jipe muda acha kukurupuka!
Halafu mlikuwa mnatafutaje mtt bila ndoa?
Jmn Mungu sio mjomba!

We unatakiwa ukae kwenye maombi ya toba na rehema basi hutakiwi kuomba kingine,na utashangaa!
Simamia hapa ,matendo 3:17,isome vzr kwa makini,halafu ba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…