Naangamia naombeni msaada kukwepa hii laana

Kabisa, eti ufunge ,uombe upate mtt bila ndoa,Mungu gani huyo?hapana jmn tumuogope Mungu
 
Usimtelekeze mtoto endelea kumuhudumia akiwa anaishi na mama yake kwao, wewe ishi maisha yako.
Anaumia akiwaona wote. Kwa mantiki hiyo basi maombi (moyo wake) yamemtuma asiwatelekeza wote.
Jamaa anahalalisha kumpenda mwanamke kwake kupitia maombi. Katika maombi bila kujua anaomba dhana yake ya kuwa baba wa mtoto iwe kweli akiamini kupitia mtoto atampata mama.
 
Naandika kwa uchungu sana..

Yapata muda mrefu sana nilikua na mpenzi wangu na nilitarajia kumuoa hivi karibuni, ila kabla ya kuoana tulikua tunatafuta mtoto na nilitoa unabii mtoto wa kwanza atakua ni wakike na kweli kawa wa kike kama nilivyo nena..
Akitokea mtu akakutukana hapa utasema anakudharau
 
KOSA LAKO KUPIMA DNA. ungepiga kimya tu na maisha yakasonga.
 
Nimecheka sana, ingawa siyo jambo zuri kumcheka mtu kwenye matatizo.
 
Naandika kwa uchungu sana..

Yapata muda mrefu sana nilikua na mpenzi wangu na nilitarajia kumuoa hivi karibuni, ila kabla ya kuoana tulikua tunatafuta mtoto na nilitoa unabii mtoto wa kwanza atakua ni wakike na kweli kawa wa kike kama nilivyo nena..
Unabii na maombi kwenye uzinzi!!!! Basi sawa
 
Kongole mkuu...umeongea nilichokuwa nakiwaza
 
Kwamba wewe uliongeza masikio kwenye hio mimba ya mtu mwingine? 😁😁😁😁😁😁😁😁😁 mkuu hio mimba/mtoto sio yako tukuambie tu,endelea na maisha yako, kama unasali omba Mungu Akupe mke mwingine mwema, hao madaktari watakua waliona huelewi somo, wakaamua wakuambie jibu unalolipenda,la vinasaba vinne, 🀣🀣🀣🀣
 
Ingekua kwa wenzetu wazungu usingeleta huu uzi hapa.Usaliti katika mapenzi hauna msamaha achilia mbali mimba na mtoto.Utamsamehe huyo mwanamke na utaishi naye baadae baba wa mtoto atakuja kumchukua imagine utapata maumivu kiasi gani maana tayari utakua umeshabond naye.Bora maumivu ya sasa ukimpata mwanamke mwingine huyo utamsahau fasta.Bro why uwe guilty wakati dem kakusaliti?Hakuna cha Kitanda hakizai haramu utakuja kujuta baadae.
 
Nitakua tofauti na wengine . Mwanamke akikuambiwa aliteleza akaliwa na ukaona amebadirika na Yuko fine with you ujue Bado anakihitaji. Mtoto ni matokeo ya tendo hivyo hana shida yoyote. Ikiweko amani na familia Yako mkuu tulia na endelea na maisha . Duniani watu wote wanatembea na Siri nyingi moyoni na bado wameruhusu maisha kuendelea.

Kwenye maisha ya mapenzi na ndoa ukipewa amani na mafanikio ujue umebarikiwa sana bila kujali Mikasa inayokuumiza .

Kama wife bado anakupa mbususu na unaichakata vilivyo hadi kileleni usiwe na taabu . Enjoy your life, na usipende kutangaza mambo ya ndani Kwa Kila mtu
 

Pole bro,
Iko hivi si kila sayansi inachanganyika na imani, simply dont mix up findings za kisayansi na mambo ya imani.

Namaanisha nini:
-Kama umehisi (contexual info) kua mimba si yako na baada ya hapo ukapima (sehemu yenye uhakika zaidi ya moja ) na majibu yakasema sio yako..achana nayo, ila kama takwimu za kisayansi zinaonyesha ni yako beba jukumu sahau yote songa.


- Kama majibu ya kitabibu yako wazi amua MOJA ila kuanza habari za kufunga na kuomba ni kutafuta temporary comfortability ambayo baada ya muda itapotea tu.

Either kubali matokeo sahau chukua mzigo hata kama sio wako lea tu, au sema NO wacha mhusika abebe msalaba wake ishi maisha yako!

Maandiko yanakataza kua β€œvuguvugu”!
 
kuna sehemu 2 hizo hapo juu zinaonesha haupo sahihi na umepotoka

Ya kwanza ulivyoandika ni kama unaamini huyo mwanamke alirogwa na nguvu za giza....the answer is Nooo, Sio rahisi kumroga mtu mwenye Mungu [kama ulivyoelezea kuwa mmeish8 katika misingi ya Mungu]

bali hiyo tabia ya kuchange wanaume sababu ya tamaa ya Pesa, ndio tabia halisi ya huyo mwanamke wako [kubali kataa sio rahisi kumroga mtu akupende sip rahisi eti hadi mimba akampa huyo mwanaume nawewe unaamini karogwa] mbona ulienda nae kupima DNA unajua kama alirogwa basi angekukataa mazima ila inaonekana mlikuwa na mawasiliano akiwa kwa huyo jamaa mwingine......


Hiyo ya chini niliyoquote ukae ukijua hata shetani anajibu maombi .....

Yohana 8:44-45
[44]Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo.

[45]Nami, kwa sababu nasema iliyo kweli, hamnisadiki.....

Shetani anajaribu kukuweka karibu na huyo dada sababu hakuna mafanikio mbeleni na yeye anapenda uhangaike...

Yani mtu mwenye mimba, akaenda kwa mwanaume mwingine nawewe unasema ni sawa sababu unaamini alirogwa......biblia yenyewe inasema tuishi nao kwa akili mkuu hebu tulia chini angalia maisha yako.....Pia kumbuka Mungu hapendi uzinzi
 
Sina ushauri unampenda mwanmke ambae anaishi na mwanume mwingine unazingizia nguv za gizaa
..kwa hali hi taifa Lina watu wa ovyo sna
Kabisa mkuu,ndio maana hangaya anafanya maswala yahovyo nabado tunamshangilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…