Huyu jamaa anazugia tu kwa huyo mtoto ila lengo lake hasa ni moyo wake unaungua kumkosa huyo demu wake, hapa analeta ngonjera nyingi za imani ili tumsupport tusimuone mpumbavu.Kwamba wewe uliongeza masikio kwenye hio mimba ya mtu mwingine? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mkuu hio mimba/mtoto sio yako tukuambie tu,endelea na maisha yako, kama unasali omba Mungu Akupe mke mwingine mwema, hao madaktari watakua waliona huelewi somo, wakaamua wakuambie jibu unalolipenda,la vinasaba vinne, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787] neno la mwisho limenichekesha! Kwamba? Kabahatisha kupata mento?Kifupi tu ni kuwa MAFAILI YAMECHANGANYIKANA NA KUJIMIX MNO HUKO KWA MEDULA YAKO.
1. Kuujenga uhusiano kwenye imani sana, na kwa kufunga na maombi, huku upande wa pili mnatafuta mtoto kabla ya ndoa ni dalili za kuchanganyikiwa
2. Kudhania kuwa mchumba alilaghaiwa kwa ushirikina akienda kutoa mbususu mpaka akapata ujauzito, na huku nyie ni watu wa kufunga na kuomba ni dalili za kuchanganyikiwa.
3. Kama maombi na mifungo imekupelekea kuwa na amani kama baba mlezi wa mtoto uliyebambikiwa, then why uombe ushauri? Uishi nao, usiwatelekeze, ila jua wife anajua kabisa kuwa kabahatika kupata Mento