Naanza kuamini kuwa Richi Mavoko hakukosea kusajiliwa kwenye lebel ya WCB

Ngoma yake ya Rudi feat Patoranking unaionaje ?
 
Mavoko ana talent kubwa sana, alikosa tuu watu wanaojua kusukuma muziki wake maana hata ujue vipi kama hauna team ya kuweza kusimamia kazi zako utapotea tuu..

Sasa amepata watu hao, cha msingi ni kujisukuma tuu atumie uwezo wake wote
 
Belle nine angepata management nzuri naye angefika mbali, ila rich ashukuru WCB, King kaka(rabbit) angempoteza kabisa.
 
Keep your friends close, keep your enemies closer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…