Naanza kuamini na kuyaelewewa haya maneno ya Pep Guardiola

man cty haitachukua ubingwa na hili litathibitika kuanzia match ya kesho
 
una mawazo mgando ww sio bure bas watachukua lipuli fc nahc umeridhika
kaka haya ni maoni yangu sijakulazimisha kukubali,sote hatuna uhakika nani atachukua so hisia zangu zinaniambia hata chukua kama ambavyo hisia zako zinakuambia atachukua
 
Bora aondoke atuachie EPL yetu. Akiendelea kuwepo huyu anaweza chukua kombe misimu mitano mfululizo .Sioni wa kumzuia.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ila ww bhana. Jamaa kasha vunja rekodi ya kocha kuchukua tuzo ya kocha bora wa mwezi kwa miezi 3 mfululizo.
 
Gudiola ni zaidi ya kocha nasikia PSG wanamvizia aende kwao Mungu baba jitahidi uepushe hilo janga la dominance Europe
Atachukua kila kombe tena atakuwa na rabiot kiungo type ya busquets atakomesha watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…