Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni namna tu ya kuelezea kua Pep ni konyo[emoji23] [emoji23]misimu mi5 mfululizo????? sidhani kama itawezekana huku epl
Ataenda nyumbani, huwezi kucheza na pesa za watu kivileMsimu huu umemkalia vizuri ubingwa atauchukua tu japo nawaza endapo atashindwa kuchukua kombe lolote itakuaje.
una mawazo mgando ww sio bure bas watachukua lipuli fc nahc umeridhikaman cty haitachukua ubingwa na hili litathibitika kuanzia match ya kesho
kaka haya ni maoni yangu sijakulazimisha kukubali,sote hatuna uhakika nani atachukua so hisia zangu zinaniambia hata chukua kama ambavyo hisia zako zinakuambia atachukuauna mawazo mgando ww sio bure bas watachukua lipuli fc nahc umeridhika
aya tuambie muamko wako unakwambia Nan atachukua?kaka haya ni maoni yangu sijakulazimisha kukubali,sote hatuna uhakika nani atachukua so hisia zangu zinaniambia hata chukua kama ambavyo hisia zako zinakuambia atachukua
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Bora aondoke atuachie EPL yetu. Akiendelea kuwepo huyu anaweza chukua kombe misimu mitano mfululizo .Sioni wa kumzuia.
Ukishindwa kujipanga jiandae kushindwa kama alivyoshindwa mou wako first legYuko mtu anaitwa mou, ngoja ajipange round ya pili uone kitacho mtokea man city
Atachukua kila kombe tena atakuwa na rabiot kiungo type ya busquets atakomesha watuGudiola ni zaidi ya kocha nasikia PSG wanamvizia aende kwao Mungu baba jitahidi uepushe hilo janga la dominance Europe
Nje yupo yaya benardo na gundoganLa msimu huu atapishana nalo subri wachezaji hasa viungo wapate injury ndo atapoteana
Man united fanboyman cty haitachukua ubingwa na hili litathibitika kuanzia match ya kesho
LABDA YEYE NDIO KAZOEA KUTUKANA,MAANA AMEONGEA POINTI NZITOhakuna matusi mkuu...maoni yako ni muhim mno(fredom of speech)
ATAKAYECHUKUA MBONA MNALAZIMISHANA WAKUU LIGI SI YAENDELEA JAMAaya tuambie muamko wako unakwambia Nan atachukua?