Katika moja ya enterview moja msimu uliopita Pep alisema
“I am not here to change English football,'. 'I am not here to change the Premier League. But my team is going to play in the way I believe in. I will try to get my players to play with the style and the ideas which come straight from Johan.
'Some people will say: 'Wow, that's nice.' Others will say: 'Ugh, that's awful.' But I am not here to change anyone else.”
Mimi nilikuwa miongoni mwa watu wa kwanza ambao waliamini kuwa msimu uliopita ungekuwa mgumu kwa Pep katika maisha yake ya soka..Nadhani kwa namna moja ama nyingine ilikuwa hivyo..Pep hakuwahi kufungwa home and away na timu moja lakini msimu uliopita ilitokea..Alifungwa na Chelsea nje ndani..Pep hakuwahi kupoteza mechi 6 katika msimu mmoja wa ligi lakini msimu uliopita ilitoke..Pep hakuwahi kushika nafasi ya tatu kwenye ligi lakini msimu uliopita ilitokea..Pep kuwa na rekodi mbovu msimu uliopita ukilinganisha na huko alikotoka..
Kwanini niliamini Pep ungekuwa msimu wake mgumu??..Pep amezoe kupiga pasi nyingi mno katka mechi..Huwa anapiga pasi fupi fupi ambazo kwa Barca alikuwa na Xavi na Iniesta..Huku EPL timu zetu zimezoea kujilinda mwanzo mpaka mwisho wa mchezo huku zikishambulia kwa kushtukiza espaecilly zinapocheza na timu kubwa…Hivyo kama uliangalia vizuri msimu uliopita Pep alimiliki mpira muda mwingi bila kupata matokeo..Pep alicopy ile staili ya Barca na Bayern bila kufanya modifications za kutosha..Timu ya Pep msimu uliopita haikuwa na speed kama hii ya sasa hivi.Jaribu kufananisha game mbili za ligi alizofungwa na Chelsea msimu uliopita na hii ambayo alishinda 1-0 darajani..
Majira ya joto mwaka 2017 Pep aliamua kutimiza ahadi yake katika maneno yake hapo juu..Pep aliamua kufanya usajili wa nguvu..Aliwasajili Ederson kutoka Benfica,Kyle Walker kutoka Tottenham,Bernado Silva kutoka Monaco na Benjamini Mendy kutoka Monaco. Usajili huu uliongeza upana wa kikosi cha man city...Aliamua kuwaondoa Wily Caballero,Bacary Sagna,Gael clichy,Jesus navas ,Kelechi Iheanacho,Pablo Zabaleta na wengine…
Msimu huu utaweza kuona jinsi Pep alivyofanya mabadiliko katika soka lake tamu na pasi nyingi…Man city wanapiga pasi huku wakienda moja kwa moja kwenye lango la mpinzani kwa speed kali sana…Kwa kutumia akili nyingi na maarifa ya David Silva na Kevin De bruyne kwenye kiungo na speed ya Rahim sterling na Leroy sane basi Man city imekuwa hatari sana..Sasa hivi Man city haipigi pasi fupi fupi nyingi ..City wamekuwa very creative kwenye lango la mpinzani msimu huu..
Kuna rekodi ambazo pep amevunja msimuu…Ila kuna hizi ambazo namuona akilekea kuzivunja
Timu iliyo maliza na point nyingi katika msimu wa Epl ni Chelsea point 95 (2004/2005) chini ya Jose Mourinho..mpaka sasa man city ana pointi 49 katika michezo 17..Bado pointi 46 aweze kufikia rekodi hiyo..Katika mechi 21 zilizobaki..
Timu iliyofunga magoli mengi kwa msimu mmoja ni Chelsea magoli 103 (2009/2010) chini ya Ancelloti..Man city mpaka sasa amefunga magoli 52..Bado magoli 51 tu katika mechi 21 zilizobaki..
Pia pep anawinda rekodi ya kuto kufungwa msimu mzima ambayo Arsenal walifanya hivyo 2003/2004..Japo ni mapema sana kwa rekodi hii lakini inawezekana kuifikia..Jose Mourinho alishindwa kuifikia 2004/2005 pale alipo poteza mechi moja tuu..
Mpaka kufikia hapa Man city ndio timu inayopewa chapuo kuchukua taji..Siwezi kuipa Man city taji mapema hivi..Japo wapo imara lakini kipindi kigumu cha Epl kinakuja..Huu wakati wa Christmas ni mgumu sana…Na raundi ya pili ya Epl huwa ni ngumu sana..Naamini na msimu huu ugumu utachangiwa na uwepo wa world cup..Kila mchezaji atahakikisha anapambana ili aweze kwenda Russia na timu yake ya taifa..
Pep anatatuthibitishia kuwa habahatishi..Anazidi kutuonesha kuwa soka la Hispania linawezekana England…Inabidi tukubaliane na maneno yake huyu jamaa..

'Some people will say: 'Wow, that's nice.' Others will say: 'Ugh, that's awful.' But I am not here to change anyone else.” Pep guardiola