Naanza kuamini yale maneno kuwa Kocha wa Stars ni dalali na Meneja wa Wachezaji

Hakuna hoja hapo tafta timu ielewane ikupe matokeo sasa hao unaowatetea lini walifanya la maana
 
Hakuna hoja hapo tafta timu ielewane ikupe matokeo sasa hao unaowatetea lini walifanya la maana
A simple question.

Yanga na usajili wao wa kipindi chote hicho mbona haikuwahi kufanikiwa ila ya mayele na hii ya pacome ndo inafanikiwa?

Unataka Starz wanasajili toka club za chini ukitarajia players wake wa-perform vizuri zaidi ya wale wa kutoka Simba, Yanga na Azam?
 
Uwezi toa mifano yabklabu kwa national timu .. national timu sio kilabu huu ujinga wa timu za kariakoo unadumaza soka letu licha ya promo uchwara kuwa linakua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…