Naanza kuiona Tanzania iliyobadilika. Watanzania hawasikilizi propaganda za uongo za Wapinzani

Mi najiuliza hawa watu wanaoanzisha thread kama hii wapo Tanzania hii au ni nyingine? Wanaishi maisha haya haya au mengine?
 
Fatma karume, Maria tseshai, Zito muigizaji? Una kichaa ww
 
Mi najiuliza hawa watu wanaoanzisha thread kama hii wapo Tanzania hii au ni nyingine? Wanaishi maisha haya haya au mengine?
Tuko hapa hapa nchini, labda tuwaulize nyie mnaolia kubanwa uhuru, mpo nchi hii hii, au
 
Tuko hapa hapa nchini, labda tuwaulize nyie mnaolia kubanwa uhuru, mpo nchi hii hii, au
Tatizo sio kubanwa Uhuru hiyo yawezekana ni sehemu ndogo 2,mtu mwenye akili timamu hawezi kushangilia utawala wa magu
 
Tatizo sio kubanwa Uhuru hiyo yawezekana ni sehemu ndogo 2,mtu mwenye akili timamu hawezi kushangilia utawala wa magu
Kwanini unasema hawezi kuwa na akili timamu, kwa iyo mm sina akili timamu
 
Yani alimuuzia hawara yake?

Kama mauziano yakifuata taratibu shida iko wapi?

Au wewe una muonea wivu huho hawara?
Akiwa Waziri alivunja taratibu kwa kunyakuwa mamlaka ya kamati husika.
 
Nani kakwambia watu wanataka kusikilizwa? Kuna mtu jeuri alikuwa kama MKAPA? leo yupo wapi??? Mbona alipofariki mlienda kusomba kwa nguvu wanafunzi ili wakamuage??? Shwain
 
Sababu hoja ya ufisadi iliyokuwa inawabeba haipo
Una ushahidi kuwa ufisadi na rushwa vimeondoka ? Mie nadhani vimeondoka kama COVID-19 ilivyoondoka, wengine bado wanavaa mask japo mkuu wa nchi kashasema haipo 😀
 
Wewe mleta mada ni mpumbafu kuliko wapumbafu wote propaganda za udanganyifu huletwa na chama tawala kukupumbaza wewem wapinzani siku zote huwaamsha wananchi dhidi ya propogand a za uwongo za chama tawala mfano eti elimu bure. na usiseme watanzania hawasikilizi sema wewe bwege husikilizi
 
Nakumbusha tu
Wakati was utawala wa kikwete bidhaa bei zilikua Kama ifutavyo
Sukari kg 1 sh 1800 Sasa 2800 hadi 3000
Mafuta ya kula litre ilikua 3500 Sasa 6000
Mfuko wa cement ilikua 13,000 Sasa 22000
Bati mita 3 ilikua 14000 Sasa 20000

Chattle ilikua wilaya Sasa ni kitovu Cha utalii Kanda ya ziwa
Chattle ilikua Haina hifadhi ya taifa Sasa Ina burigi game reserve

Kwakifupi gharama za maisha zimepanda Sana toka 2015 hadi sasa 2021
Na kinachonifurahisha ni kwamba wore tunaisoma namba haijalishi una kadi ya chama kile Cha kijani au chama kile Cha zambarau.🤳🤳🤳🤳
 
Kuna vituko duniani hapa!

Eti Lissu nae alitaka awe Rais!

Kule Uganda nako eti Bob anataka kuwa Rais!
Kwa hao ulio wataja kwenye ukoo wenu hayupo aliefanikiwa angalau kwa robo ya Bobi Wine au Lissu
 
Hakuna cha kushangaza kwa maoni kama hayo unayotoa. Kuna watu hata kama rais ataamua kuchinja mtu moja kila siku bado watashangilia tu.

Kitu ambacho Mungu alifanya ni kuwa watu hawawezi wakalingana akili hivyo kama wewe lazima pia wawepo ili dunia iendelee.
 
Chato ilikuwepo kabla ya mjerumani kutawala Tanzania
 
Kuna raslimali zipi kubwa za kunawirisha kisarawe!
 
Yaani hauwazii tanzania yenye wasomi wanaojielewa ,wenye utambuzi wanao weza kutatua changamoto zao wenyewe ,unabaki kusifia CCM abayo watu wake wote hawajielewe akili zao ziko matakoni ,hawajawahi kufikiria elimu ya tanzania inatakiwa iwe vipi ili itatue shida za watu wala kufikiria ni uchumi upi tunatakiwa kuwa nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…