Unajua ya kuwa Uyahudi ni dini na sio kabila ?
Hakuna Historia sahihi iliyo andikwa ikaonyesha familia ya utawala wa saudia ni Mayahudi. Hizi Historia zenu mnazitoa kwa Mustashrikuun (Orientalist), watu ambao walijifunza Uislamu ili wake kupotosha watu.
Historia ya Utawala wa Saudia umeisoma kwenye vitabu gani ?
Aya za juu sijashughulika nazo sababu si hoja.
Kingine Makafiri huwa wanawatumia Mashia na USHIA kuuchafua Uislamu.
King Faisal (1906-1975), who ruled the Kingdom between 1964-75, confirmed Jewish ancestry of Saudi Royals. In an interview to Washington post on September 17, 1969, King Faisal is reported to have said βWe, the Saudi family are cousins of the Jews.
------------------------------
Wewe nani ukatae? Wakati wenyewe waliyo kwenye huo ukoo wanakiri hili kwamba wao ni wayahudi.
Sasa unachopinga ni nini?
Kama inavyofahamika kuwa Shia wanafuata attribution za imamu wawili 2. Vitabu wanavyovifuata ni vinne (4):
1)Al Kahf
2)Man la Yahduruhu Al Faqih
3)Al Istibsar na
4)Attahdhib
Asilimia 90% ya ripoti za hivi vitabu vinatokana na maimam wawili.
1) Imam Jaafar Al Sadiq na
2)Imam Muhammad Al Baaqir
Na kuna watu ambao wananukuu kutoka kutoka kwa hao maimam, watu hao ni wanne:
1) Abou Basir
2)Hishan ibn Al Hakam
3) Hisham ibn Salim na
4) Zurarah ibn Ayyun
Na kwa mujibu wa Shia wenyewe hawa watu wote ni waongo. Na hao watu 4 ukiwatoa tu hakuna ushia. Hawana source nyeninge qu chain nyengine ya madhheb ya shia. Na inafahamika kuwa mwanzilishi wa ushia ni swahaba wa Mtume aliyesilimu kinafiki anaitwa Abdillah Ibn Saaba. Huyu mtu ni myahudi.
Kama inavyofahamika mwanzilishi wa shia ni myahudi inafahamika vilevile kuwa utawala wa saudia asili yao ni myahudi vilevile. Ni babu yao Mkuu, anaitwa Murdakhai Bin Abraham Bin Moshe Al Dounami, kwa jina jingine anaitwa Merkhan. Babu yao ni myahudi wa kabila la Anza ambaye alikuwa akiishi Basra nchini Iraq na baadaye kuhamia Najd na makazi yake akayaweka Diriya.
Wasaudi wenyewe official account yao inasema ancestor wao ni Mani Ibn Rabiah al-Muraydi ambaye makazi yake yalikuwa ni Diriya. Kwa bahati mbaya ancestry of Mani kwenye hilo eneo haifahamiki na halina mizizi. Kinachofahamima ni kuwa Mani ni myahudi wa kabila la Anza au Aniza kutoka Basra nchini Iraq. Alialikwa na ndugu yake aliyeitwa Ibn Dir. Ibn Dir kwa kipindi hicho alikuwa ni mtawala wa vijiji vingi ambavyo kwa sasa ndiyo vinaunda Riyadh.
Hii inafahamika hata kwa waarabu hata kuna kipindi Lebanese Minister Wiam Wahhab, alikiri wazi kwenye mahojiano yaliyofanyika kwenye TV kuwa familia ya kifalme ya Saudia kizazi Chao kutoka kwa babu ni wayahudi.
Mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudi Arabia mnamo March 2015 alikiri kuwa wafalme waliyomtangulia akiwemo na baba yake (mfalme Abdulaziz, Mfalme Saud, Mfalme Faisal, Mfalme Khaled, Mfalme Fahd, mfalme Abdullah ) asili yao ni kutoka kwenye damu ya kiyahudu. Na akakiri mpaka sasa hivi kwenye ukoo wa Saudi wapo ambao wanaofuata dini ya kiyahudi na akamtolea mfano Naif Bin Abdulaziz.
Sasa wewe unabisha nini? Na unabisha kama nani? Kama king faisal mwenyewe kasema wewe ni nani ukatae? Kama King Salman bin Abdulaziz kasema wewe nani?
Na kwa kukuweka wazi ni kwamba; hao wairan na Israel siyo michezo wanayofanya. Hao kila mmoja anapambania maslahi ya nchi yake. Kama Saudia ilivyomfanyia unafiki Qatar kupindi cha Trump baada ya kuona anazidiwa ushawishi. Hizi ni sisa za mamlaka zinazopambania nchi zao na ndiyo maana nikakupatia mfano wa wazi vilevile: Soviet iliendeshwa na wayahudi. USA I aendesha na wayahudi. Lakini hawakupatana mpaka wakataka kuingiza dunia machafukoni.
Unaelewa siasa za dunia zinavyokwenda au unakaririshwa?