Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

Allah aliposema ya kuwa hakika dini mbele yake ni Uislamu, na katika surat al Maidah ametilia mkazo, inamaanisha ya kuwa zipo dini nyingine nyingi lakini si sahihi na USHIA ni miongoni mwa dini hizo potofu.
Ndugu zangu waislam tusinyamaze na kuwaacha makafir mashia kuwadhalilisha na kuwatukana maswahaba. Haiwezekani Iran na mashia wanamtukana bi Ayesha mke kipenzi wa mtume wa Allah eti malaya alikuwa akioga uchi mbele ya wanaume na kugongwa group sex.

Ummah wa uislamu tukiendelea kunyamaza na kuwapuuza hawa mashia tutakosa qauly thabit na kukosa janah na firdaus siku qyamah.

Tususieni bidhaa zote za mashia na mayahudi kama mo energy na coca cola tununue bidhaa za Azam tu.

adriz Mufti kuku The Infinity Jagina
 
Kwani umeamini kuwa Yesu si Mungu ? Na hakufa wala kusulubiwa?
 
Usiwe miinga kiasi hiki. Kwahiyo neno kuwepo kwenye Qur'an ndio kunafanya isiwe dini ? Mbona Uyahudi umetajwa kwenye Qur'an nao sio dini ?

Rejea maana ya dini uje kujenga hoja hapa. Kingine sio kila kitu uchangie, Kuna muda bora kusoma upate kujifunza.

USHIA ni dini kama dini nyingine, Kuna muda matamko yanafasiriwa kilugha n kiistilahi. Kama ilivyo ibada. Kwahiyo bado hujaonyesha ya kuwa USHIA sio dini.
Mimi naona inatakiwa iwe Dini ya Kiislamu, dhehebu la Shia au Suni!

Sidhani kama ni sahihi kusema dini ya Shia au Suni!
 
Taifa la Irani linaongozwa kwa utaratibu wa dini ya KISHIA. Muasisi wa USHIA alikuwa MYAHUDI. Alikuwa anaitwa Abdullah Ibn Sabai.

Utapata picha hapo, juu ya kadhia hii.
Hiyo siyo sababu.

Urusi ya Soviet ilikuwa inaongozwa na wayahudi mbona hawakupatana na USA inayoongozwa na wayahudi?

North Korea kipindi cha utawala wa Obama ilifunga balozi zake na kuondoa balozi wote wa nchi nyengine kwa kujiandaa na vita lakini UK walizungumza nao na kumsihi asifikie huko. Hapa napo unapata picha gani?

Mifano bado ipo mingi!
Usichokijua ni kuwa kuna line maalumu ya mawasiliano ambayo inatumika kimataifa mataifa yanazungumza.

Kama hiyo ni sababu pekee unaitumia hata familia ya utawala wa Saudi Arabia ni wayahudi vilivile.
 
Kama hiyo ni sababu pekee unaitumia hata familia ya utawala wa Saudi Arabia ni wayahudi vilivile.

Unajua ya kuwa Uyahudi ni dini na sio kabila ?

Hakuna Historia sahihi iliyo andikwa ikaonyesha familia ya utawala wa saudia ni Mayahudi. Hizi Historia zenu mnazitoa kwa Mustashrikuun (Orientalist), watu ambao walijifunza Uislamu ili wake kupotosha watu.

Historia ya Utawala wa Saudia umeisoma kwenye vitabu gani ?

Aya za juu sijashughulika nazo sababu si hoja.

Kingine Makafiri huwa wanawatumia Mashia na USHIA kuuchafua Uislamu.
 
View attachment 2965440

Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana.

Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu.

Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia, Ukraine, Israel, US na Ulaya wanaweza kukaa kikao sehemu mafichoni huku wanatrigger mambo duniani na media zao wanavyotaka.

Ushauri: Kabla hujalaumu au kuchukua upande tulia. Ikiwezekaba tukio lolote likaushie angalau ipite wiki upate uwanja mpana wa kujadili mengine ni tunapangwa.

Ni hayo tu.

Hiyo yako ni conspiracy theory iliyoibuka kwenye mtandao baada ya watu kuona mazayuni hawarudishi mapigo.

Ukweli ni kuwa mazayuni mavi debe.
 
Ndugu zangu waislam tusinyamaze na kuwaacha makafir mashia kuwadhalilisha na kuwatukana maswahaba. Haiwezekani Iran na mashia wanamtukana bi Ayesha mke kipenzi wa mtume wa Allah eti malaya alikuwa akioga uchi mbele ya wanaume na kugongwa group sex.

Ummah wa uislamu tukiendelea kunyamaza na kuwapuuza hawa mashia tutakosa qauly thabit na kukosa janah na firdaus siku qyamah.

Tususieni bidhaa zote za mashia na mayahudi kama mo energy na coca cola tununue bidhaa za Azam tu.

adriz Mufti kuku The Infinity Jagina
Ila wewe comments huwa zinafurahisha Sana
 
Hivi vyanzo vyenu vya habari fuatilieni kwa umakini.
Kuna chanzo kilituma taarifa ya uongo kwamba Saudi Arabia ilisaidia kutungua drones na missiles zilizo rushwa na Iran kwenda Israel.
Wakaweka na ushahidi bandia taarifa imetoka tovuti ya mfalme wa Saudia kumbe uongo.
Vyombo vya habari karibu vyote vikubwa vikaingia mkenge vikarusha taarifa ya ushiriki wa Saudia.

Cha ajabu muandishi akaanza kuandika tuhuma dhidi ya Iran na kusema Iran ndiyo wa kulaumiwa kuhusu mgogo huu. Saudia wakakanusha rasmi taarifa hizo.
Lengo ni kujaribu kudhoofisha ushirika mpya wa Iran na Saudia. Kuwagombanisha wao kwa wao.
 
Unajua ya kuwa Uyahudi ni dini na sio kabila ?

Hakuna Historia sahihi iliyo andikwa ikaonyesha familia ya utawala wa saudia ni Mayahudi. Hizi Historia zenu mnazitoa kwa Mustashrikuun (Orientalist), watu ambao walijifunza Uislamu ili wake kupotosha watu.

Historia ya Utawala wa Saudia umeisoma kwenye vitabu gani ?

Aya za juu sijashughulika nazo sababu si hoja.

Kingine Makafiri huwa wanawatumia Mashia na USHIA kuuchafua Uislamu.
King Faisal (1906-1975), who ruled the Kingdom between 1964-75, confirmed Jewish ancestry of Saudi Royals. In an interview to Washington post on September 17, 1969, King Faisal is reported to have said “We, the Saudi family are cousins of the Jews.
------------------------------

Wewe nani ukatae? Wakati wenyewe waliyo kwenye huo ukoo wanakiri hili kwamba wao ni wayahudi.

Sasa unachopinga ni nini?
Kama inavyofahamika kuwa Shia wanafuata attribution za imamu wawili 2. Vitabu wanavyovifuata ni vinne (4):

1)Al Kahf
2)Man la Yahduruhu Al Faqih
3)Al Istibsar na
4)Attahdhib

Asilimia 90% ya ripoti za hivi vitabu vinatokana na maimam wawili.

1) Imam Jaafar Al Sadiq na
2)Imam Muhammad Al Baaqir

Na kuna watu ambao wananukuu kutoka kutoka kwa hao maimam, watu hao ni wanne:

1) Abou Basir
2)Hishan ibn Al Hakam
3) Hisham ibn Salim na
4) Zurarah ibn Ayyun

Na kwa mujibu wa Shia wenyewe hawa watu wote ni waongo. Na hao watu 4 ukiwatoa tu hakuna ushia. Hawana source nyeninge qu chain nyengine ya madhheb ya shia. Na inafahamika kuwa mwanzilishi wa ushia ni swahaba wa Mtume aliyesilimu kinafiki anaitwa Abdillah Ibn Saaba. Huyu mtu ni myahudi.

Kama inavyofahamika mwanzilishi wa shia ni myahudi inafahamika vilevile kuwa utawala wa saudia asili yao ni myahudi vilevile. Ni babu yao Mkuu, anaitwa Murdakhai Bin Abraham Bin Moshe Al Dounami, kwa jina jingine anaitwa Merkhan. Babu yao ni myahudi wa kabila la Anza ambaye alikuwa akiishi Basra nchini Iraq na baadaye kuhamia Najd na makazi yake akayaweka Diriya.

Wasaudi wenyewe official account yao inasema ancestor wao ni Mani Ibn Rabiah al-Muraydi ambaye makazi yake yalikuwa ni Diriya. Kwa bahati mbaya ancestry of Mani kwenye hilo eneo haifahamiki na halina mizizi. Kinachofahamima ni kuwa Mani ni myahudi wa kabila la Anza au Aniza kutoka Basra nchini Iraq. Alialikwa na ndugu yake aliyeitwa Ibn Dir. Ibn Dir kwa kipindi hicho alikuwa ni mtawala wa vijiji vingi ambavyo kwa sasa ndiyo vinaunda Riyadh.

Hii inafahamika hata kwa waarabu hata kuna kipindi Lebanese Minister Wiam Wahhab, alikiri wazi kwenye mahojiano yaliyofanyika kwenye TV kuwa familia ya kifalme ya Saudia kizazi Chao kutoka kwa babu ni wayahudi.

Mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudi Arabia mnamo March 2015 alikiri kuwa wafalme waliyomtangulia akiwemo na baba yake (mfalme Abdulaziz, Mfalme Saud, Mfalme Faisal, Mfalme Khaled, Mfalme Fahd, mfalme Abdullah ) asili yao ni kutoka kwenye damu ya kiyahudu. Na akakiri mpaka sasa hivi kwenye ukoo wa Saudi wapo ambao wanaofuata dini ya kiyahudi na akamtolea mfano Naif Bin Abdulaziz.

Sasa wewe unabisha nini? Na unabisha kama nani? Kama king faisal mwenyewe kasema wewe ni nani ukatae? Kama King Salman bin Abdulaziz kasema wewe nani?

Na kwa kukuweka wazi ni kwamba; hao wairan na Israel siyo michezo wanayofanya. Hao kila mmoja anapambania maslahi ya nchi yake. Kama Saudia ilivyomfanyia unafiki Qatar kupindi cha Trump baada ya kuona anazidiwa ushawishi. Hizi ni sisa za mamlaka zinazopambania nchi zao na ndiyo maana nikakupatia mfano wa wazi vilevile: Soviet iliendeshwa na wayahudi. USA I aendesha na wayahudi. Lakini hawakupatana mpaka wakataka kuingiza dunia machafukoni.

Unaelewa siasa za dunia zinavyokwenda au unakaririshwa?
 
Back
Top Bottom