Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

Shia ni dhehebu dini ni islam!
 
 
Allah alisemea hayo wapi!? Yaani kuandika jarida ndo Allah kasema!!!??? Huo utumwa wa fikra utawatoka lini!?
Akili huna, najadili hoja na watu wenye akili au wenye hoja.

Kacheze na watoto wenzako, huko tushapita zamani sana.
 
Na mwanzilishi wa Ushia naye ni myahudi swahaba aliyesilimu kiunafiki Abdillah ibn Saaba.

Abdullah Ibn Sabai hakuwa swahaba bali alidhibiri kipindi Cha utawala wa Uthman au Alii kama sijakosea.
 

Kingine Salafi sio Answer Sunnah.

Wewe ni madhehebu ya Imam Shafi, umeisoma vitabu gani vya Madhehebu ya Imam Shafi mpaka ujinadi na Ushafi ?

Mimi manhaj yangu ni Manhaj ya Salafy Swaalehe na madhehebu yangu ni ya Imam Shafi.

Unaujua Ushafi ?

Wewe ni Shia kutokana na michango yako na nakufahamu kwa hilo. Ila Ushafii umejipachika.
 
Shia ni dhehebu dini ni islam!
Huujui USHIA. Muulize Jalala kiongozi wa Mashia, Tanzania anasema kwa kinywa chake mwenyewe ya kuwa USHIA ni dini pweke isiyo fanana na Uislamu.

Lakini, ukisoma vitabu vyao ndio utajua ya kuwa USHIA ni dini.
 
Huujui USHIA. Muulize Jalala kiongozi wa Mashia, Tanzania anasema kwa kinywa chake mwenyewe ya kuwa USHIA ni dini pweke isiyo fanana na Uislamu.

Lakini, ukisoma vitabu vyao ndio utajua ya kuwa USHIA ni dini.
Pole sana!
 
Mkuu siyo hilo tu!
Mpaka leo kuna jamii ya Wayahudi Iran na wanamwakilishi ndani ya Bunge la Iran.
Chief mbona ni jambo la kawaida mtu mwenye asili ya nchi Fulani kupata nafasi ya uongozi katika nchi nyingine, Kagame ashawahi kuwa Hadi waziri hapo Uganda, hapa Tz Manji, Mo n.k washawahi kuwa wabunge. Ila naona mahaba Yako juu ya Israel yanakufanya uwe kipofu wa kuwaza nje ya box.

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Wayahudi na waajemi wote ni wayahudi tu
Hivi ni vigezo gani unatumia kusema waajemi wote ni wayahudi na sio wayahudi wote ni waajemi!? Ni utasikia wamarekani ni mayahudi au Saudi Arabia au Misri ni mayahudi, why hao Jews wasiwe race ya mataifa mengine? Tupunguze UCHAWA

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Na mwanzilishi wa Ushia naye ni myahudi swahaba aliyesilimu kiunafiki Abdillah ibn Saaba.
Mara ya pili hii naona kauli hii kutoka kwako.



'Abdullah ibn Saba myahudi hakuwa Swahaba. Alidhihiri wakati wa ukhalifa wa Swahaba 'Uthmaan ibn 'Affan (Allah Amridhie).


Swahaba ni yule aliyekutana na Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) akamuamini na akafa katika Uislam.

Allah awaridhie maswahaba wote wa Mtume.

'Abdullah Ibn Saba myahudi hakuwa Swahaba.
 
Kijana hapa tunaongelea elimu, acha utoto. Kama una hoja weka tuijadili.
Wavaa makobazi mlianza kugombana urithi wa nabii wenu ambae alikufa kufa bila kuacha urithi na ndo mkafarakana wengine wakamfuata abu bakar wengine imamu hussein acheni kusingizia wayahudi kwenye maujinga yenu.
Kama myahudi alianzisha Shia iran asingehangaika kuishambulia Israel
 
We
We mpumbavu hakuna DINI YA USHIA
 

Ukiona watu wenye akili kama vile China 🇨🇳 na kidoogo India 🇮🇳 hawajishughulishi na izo inshu ujue ni maigizo tu. Tulia sana umuangalie China na hata Japan kama wanaropoka kitu kuhusu hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…