Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

Usiwe miinga kiasi hiki. Kwahiyo neno kuwepo kwenye Qur'an ndio kunafanya isiwe dini ? Mbona Uyahudi umetajwa kwenye Qur'an nao sio dini ?

Rejea maana ya dini uje kujenga hoja hapa. Kingine sio kila kitu uchangie, Kuna muda bora kusoma upate kujifunza.

USHIA ni dini kama dini nyingine, Kuna muda matamko yanafasiriwa kilugha n kiistilahi. Kama ilivyo ibada. Kwahiyo bado hujaonyesha ya kuwa USHIA sio dini.
Shia ni dhehebu dini ni islam!
 
embu tuonyeshe unavyomake? Unadhan wana omake wana muda wakujisifia hapa?
Wifi ya shemeji yako ndo nini? Sura kama pumbu la baba yako😂.
Eti unajua mambo ya dunia. Ujawahi hata kuongoza watu wawili unataka kutuambia siri za dunia kwa kuokoteza vitu mitandaoni! Si ajabu una matatizo ya akili

[/QUOTE
Siri za dunia huwezi zijua ukiwa mburula kama wewe,mfano kwann wazungu wanaisaidia afrika Toka uhuru na still Afrika bado ni masikini.
Zaid ya simba yanga zuchu ngono kipi unajua.


Nipo online kwa ajili information gap
 
Allah alisemea hayo wapi!? Yaani kuandika jarida ndo Allah kasema!!!??? Huo utumwa wa fikra utawatoka lini!?
Akili huna, najadili hoja na watu wenye akili au wenye hoja.

Kacheze na watoto wenzako, huko tushapita zamani sana.
 
Na mwanzilishi wa Ushia naye ni myahudi swahaba aliyesilimu kiunafiki Abdillah ibn Saaba.

Abdullah Ibn Sabai hakuwa swahaba bali alidhibiri kipindi Cha utawala wa Uthman au Alii kama sijakosea.
 
Nakujibu kiujumla.

Mimi ni sunni, madhheb ya Imam Shafii. Ili kuepuka kuingia kwenye mizani ya kupata dhambi kwa kumdhania mtu
Mapokeo ya elimu niliyopatiwa mimi kabla ya kukizungumzia suala lolote basi niwe na ufahamu nalo. Ufahamu nitaupata kwenye kusoma. Kabla hujamzungumzia jamii fulani ipo hivi mimi nawasoma kwanza.

Kwangu huwa haitoshi nikisikia Sheikh fulani kasema hivi au kasema vile kuhusu jamii fulani ya watu. Kwangu nawasoma kwanza hao watu. Kwangu huwa inanitosha nikisoma vitabu vyao. Nitarudi kule kule pa awali! Lazima nitafute vitabu vyao nithibitishe kile kilichosemwa ni kweli au si kweli.

Baada ya hapo ndiyo natoka na msimamo. Kwangu elimu kwanza kisha ndiyo itafuata itikadi. Hivyo, nimebahatika kusoma miongoni mwa vitabu vya mashia.

Kwa sehemu ya elimu ya kuwajua Shia niliyoielezea kwa bahati mbaya umenidhania kuwa Hammaz ni Shia. Umetumia dhana! Hali ambayo kwenye dini inakatazwa kwa sababu unaweza kumdhania mtu kumbe yupo tofauti na kile ulichomdhani. Katika mlango huu unafahamu zaidi.

Kwa nia nzuri tu naweza kusema kwa kinywa kipana; Moja ya mapungufu mliyokuwa nayo Salafi (Answar Sunna) mtu akiwa tofauti na kile mnachokifahamu huwa mnadondokea kwenye dhana. Taswira yoyote itakayokuja kichwani mwenu mtampachika nayo.

Neno elimu kwenye lugha ya kiarabu lina herufi 3. Kuna ayn, lam na mim: Ayn; Mwanzo mwanafunzi anapoanza kusoma anakuwa "atushani", anakuwa na kiu sana ya kusoma. Kila kitu atameza.

Kwenye herufi lam hapa mwanafunzi anakuwa law wam. Hapa utamkuta mtu anakuwa mshindani, mjuaji, anataka kushindana na kila mtu. Na hii ndiyo Marhala mbaya sana!

Akishatoka kwenye lam anakuja kwenye Mim na anakuwa mutamakin. Hapa anatulia hawi na fujo! Anajua hii ni kauli ya Imam fulani madheheb fulani na dalili yao ni fulani. Anatulia.

Sasa ni nini maana yangu kuelezea hilo! Hakuna mahali ambapo nimepinga kuwa ushia haujatokana na Abdillah ibn Saaba. Hakuna mahala nimepinga!

Bali hoja ilikuwa ni kwa sababu nukta kuu ni uyahudi au myahudi basi hawa ni moja. Ikiwa kama nukta kuu ni uyahudi au myahudi swali litakuja hata Utawala wa Saudia asili yao ni uyahudi. Kwa msingi huo kama nukta ikiwa ni uyahudi au myahudi basi kwa kipimo kilekile anachopimiwa Shia ndicho kipimo hicho hicho apimiwe Saudia. Hii ndiyo ilikuwa hoja.

Sasa kama umekubaliana nayo ni sawa! Kama hujakubaliana nayo ni sawa! Kwa sababu sipo kwa ajili ya kumshurutisha mtu wala sipo kwa ajili ushindani. Hatua hiyo mimi nimeshaipita.

Jawabu langu nalikusanya kwa namna hiyo!

Kingine Salafi sio Answer Sunnah.

Wewe ni madhehebu ya Imam Shafi, umeisoma vitabu gani vya Madhehebu ya Imam Shafi mpaka ujinadi na Ushafi ?

Mimi manhaj yangu ni Manhaj ya Salafy Swaalehe na madhehebu yangu ni ya Imam Shafi.

Unaujua Ushafi ?

Wewe ni Shia kutokana na michango yako na nakufahamu kwa hilo. Ila Ushafii umejipachika.
 
Shia ni dhehebu dini ni islam!
Huujui USHIA. Muulize Jalala kiongozi wa Mashia, Tanzania anasema kwa kinywa chake mwenyewe ya kuwa USHIA ni dini pweke isiyo fanana na Uislamu.

Lakini, ukisoma vitabu vyao ndio utajua ya kuwa USHIA ni dini.
 
Huujui USHIA. Muulize Jalala kiongozi wa Mashia, Tanzania anasema kwa kinywa chake mwenyewe ya kuwa USHIA ni dini pweke isiyo fanana na Uislamu.

Lakini, ukisoma vitabu vyao ndio utajua ya kuwa USHIA ni dini.
Pole sana!
 
Mkuu siyo hilo tu!
Mpaka leo kuna jamii ya Wayahudi Iran na wanamwakilishi ndani ya Bunge la Iran.
Chief mbona ni jambo la kawaida mtu mwenye asili ya nchi Fulani kupata nafasi ya uongozi katika nchi nyingine, Kagame ashawahi kuwa Hadi waziri hapo Uganda, hapa Tz Manji, Mo n.k washawahi kuwa wabunge. Ila naona mahaba Yako juu ya Israel yanakufanya uwe kipofu wa kuwaza nje ya box.

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Wayahudi na waajemi wote ni wayahudi tu
Hivi ni vigezo gani unatumia kusema waajemi wote ni wayahudi na sio wayahudi wote ni waajemi!? Ni utasikia wamarekani ni mayahudi au Saudi Arabia au Misri ni mayahudi, why hao Jews wasiwe race ya mataifa mengine? Tupunguze UCHAWA

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Na mwanzilishi wa Ushia naye ni myahudi swahaba aliyesilimu kiunafiki Abdillah ibn Saaba.
Mara ya pili hii naona kauli hii kutoka kwako.



'Abdullah ibn Saba myahudi hakuwa Swahaba. Alidhihiri wakati wa ukhalifa wa Swahaba 'Uthmaan ibn 'Affan (Allah Amridhie).


Swahaba ni yule aliyekutana na Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) akamuamini na akafa katika Uislam.

Allah awaridhie maswahaba wote wa Mtume.

'Abdullah Ibn Saba myahudi hakuwa Swahaba.
 
Kijana hapa tunaongelea elimu, acha utoto. Kama una hoja weka tuijadili.
Wavaa makobazi mlianza kugombana urithi wa nabii wenu ambae alikufa kufa bila kuacha urithi na ndo mkafarakana wengine wakamfuata abu bakar wengine imamu hussein acheni kusingizia wayahudi kwenye maujinga yenu.
Kama myahudi alianzisha Shia iran asingehangaika kuishambulia Israel
 
We
Usiwe miinga kiasi hiki. Kwahiyo neno kuwepo kwenye Qur'an ndio kunafanya isiwe dini ? Mbona Uyahudi umetajwa kwenye Qur'an nao sio dini ?

Rejea maana ya dini uje kujenga hoja hapa. Kingine sio kila kitu uchangie, Kuna muda bora kusoma upate kujifunza.

USHIA ni dini kama dini nyingine, Kuna muda matamko yanafasiriwa kilugha n kiistilahi. Kama ilivyo ibada. Kwahiyo bado hujaonyesha ya kuwa USHIA sio dini.
We mpumbavu hakuna DINI YA USHIA
 
View attachment 2965440

Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana.

Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu.

Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia, Ukraine, Israel, US na Ulaya wanaweza kukaa kikao sehemu mafichoni huku wanatrigger mambo duniani na media zao wanavyotaka.

Ushauri: Kabla hujalaumu au kuchukua upande tulia. Ikiwezekaba tukio lolote likaushie angalau ipite wiki upate uwanja mpana wa kujadili mengine ni tunapangwa.

Ni hayo tu.

Ukiona watu wenye akili kama vile China 🇨🇳 na kidoogo India 🇮🇳 hawajishughulishi na izo inshu ujue ni maigizo tu. Tulia sana umuangalie China na hata Japan kama wanaropoka kitu kuhusu hili.
 
Back
Top Bottom