Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Labda sioni sawasawa Ila Naona rais Magufuli ameanza kuwa na muonekano wa kimaridhiano na baba mlezi asiependelea upande wowote ameanza kuwa msikivu na mjali haki tofauti na hapo nyuma.
Kikwazo pekee ninachokiona kwa magufuli ni vijana wa Siro.
Kwa maoni yangu nadhani Siro sio mtu mwema kwa Rais ni Kama anamsabotage!
Nadhani Siro anapaswa kuondolewa kabla ya uchaguzi.
Kikwazo pekee ninachokiona kwa magufuli ni vijana wa Siro.
Kwa maoni yangu nadhani Siro sio mtu mwema kwa Rais ni Kama anamsabotage!
Nadhani Siro anapaswa kuondolewa kabla ya uchaguzi.