Siro Siro unamuonea,huyo mzee ana PhD ya unafiki na roho mbaya
Unamjua au unamsikia huyo Jiwe ?Labda sioni sawasawa Ila Naona rais Magufuli ameanza kuwa na muonekano wa kimaridhiano na baba mlezi asiependelea upande wowote ameanza kuwa msikivu na mjali haki tofauti na hapo nyuma.
Kikwazo pekee ninachokiona kwa magufuli ni vijana wa Siro.
Kwa maoni yangu nadhani Siro sio mtu mwema kwa Rais ni Kama anamsabotage!!
Nadhani Siro anapaswa kuondolewa kabla ya uchaguzi.
Ni mbinafsi sana huyu mzee,ametuingiza Chaka la Barrick sababu ya ukalomije wakeUmesahau somo moja la U KIGEU GEU yupo tayari amuumize mtu kwa maamuvi yaliyofanywa kwa maelekezo yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda sioni sawasawa Ila Naona rais Magufuli ameanza kuwa na muonekano wa kimaridhiano na baba mlezi asiependelea upande wowote ameanza kuwa msikivu na mjali haki tofauti na hapo nyuma.
Kikwazo pekee ninachokiona kwa magufuli ni vijana wa Siro.
Kwa maoni yangu nadhani Siro sio mtu mwema kwa Rais ni Kama anamsabotage!!
Nadhani Siro anapaswa kuondolewa kabla ya uchaguzi.
Hivi mkuu hujui kuwa huu ni mwaka 2020 na ni mwaka wa kubembelezea 'kula' au unajitoa ufahamu?
Huyo Afande, ni Muungwana sana! Mwanza hatutamsahau kwenye uchaguzi wa mwaka 2010. Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani, Bwana Masha, alitaka ushindi wa Wenje (CDM) uchakachuliwe na kupewa yeye, Siro akawatahadharisha kuwa, yeye na jeshi lake la Mkoa, hawana uwezo kudhibiti hatua itakayochukuliwa na waliochakachuliwa!superbug,
Siro unamuonea bure,huyo mzee ana PhD ya unafiki na roho mbaya
Na makonda mchumia tumbo wa DarSiro ni askari mzuri asiye na bahati. Hakutakiwa kufanya kazi na JIWE.
JIWE anaweza kufanya kazi na takataka kama MROTO wa DODOMA.
Naunga mkono hojaLabda sioni sawasawa Ila Naona rais Magufuli ameanza kuwa na muonekano wa kimaridhiano na baba mlezi asiependelea upande wowote ameanza kuwa msikivu na mjali haki tofauti na hapo nyuma.
Ni kama vile umeliona tatizo ila unataka kujifanya tatizo halipo kwa kusingizia watuLabda sioni sawasawa Ila Naona rais Magufuli ameanza kuwa na muonekano wa kimaridhiano na baba mlezi asiependelea upande wowote ameanza kuwa msikivu na mjali haki tofauti na hapo nyuma.
Kikwazo pekee ninachokiona kwa magufuli ni vijana wa Siro.
Kwa maoni yangu nadhani Siro sio mtu mwema kwa Rais ni Kama anamsabotage!
Nadhani Siro anapaswa kuondolewa kabla ya uchaguzi.
Mkuu, usikimbilie hitimisho kama hilo kwa mtu huyu, ni wasiwasi tu kuhusu uchaguzi wa 2020, hakuna kitu kama hicho ndani yake.Labda sioni sawasawa Ila Naona rais Magufuli ameanza kuwa na muonekano wa kimaridhiano na baba mlezi asiependelea upande wowote ameanza kuwa msikivu na mjali haki tofauti na hapo nyuma.
Kikwazo pekee ninachokiona kwa magufuli ni vijana wa Siro.
Kwa maoni yangu nadhani Siro sio mtu mwema kwa Rais ni Kama anamsabotage!
Nadhani Siro anapaswa kuondolewa kabla ya uchaguzi.
P. Mbona siku hizi umegeuka mpiga chabo humu? Kama kawaida yako unarudia makosa Yale ya 2015 ya kumnadi wa Kanda pendwa ili akuone Kama poti asiyekata tamaa akipita! Anyway, 2021 utakula shavu hata la ukurugenzi wa wilaya sio mbaya!Naunga mkono hoja
PTrend reading zaonyesha Tanzania njema kisiasa, Rais Magufuli is changing for the better!. Je, soon kukaa na wapinzani, kuruhusu mikutano ya siasa?!.
Wanabodi, Mode: Kunapotokea jambo kubwa, jema, zuri lenye manufaa kwa mustakabali wa taifa kama leo, naomba ruhusu free flow of information kuhusu jambo hilo kwa kuruhusu hata threads 100 zenye mawazo na mitazamo tofauti tofauti zipande, kisha zitakuja kuunganishwa mbele ya safari, lakini isiwe...www.jamiiforums.com