GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Bado tungendlea nae maana anatufaa hata kwa masika na kiangaziMngetoka Suluhu, nadhani Leo ungeyatupa Mabego ya Fadlu Airport.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado tungendlea nae maana anatufaa hata kwa masika na kiangaziMngetoka Suluhu, nadhani Leo ungeyatupa Mabego ya Fadlu Airport.
Pale hakuna kikosi bila mo kutoa pesa na kufanya usajili wa maana sio janja janja sasa hivi tutamaliza ligi nafasi ya 4.Mechi ya Simba na Mashujaa ilikuwa ngumu, lakini sub alizokuja kufanya kocha sijaelewa ilikujaje kuleta matokeo, maana galfa umiliki ukahamia kwa Simba.
Najua wengi walishtuka Shabalala kutolewa halafu anaingia Nouma, Ateba alitolewa tukaanza kuwa na mashaka na Mukwala ni kama kikosi ilichanganywa flani Nouma anacheza kati Ahoua anarudi pembeni.
Naomba kwa waelewa pale zile sub za kina Ateba walipotolewa wakaingia kina Awesu, Nouma, Mukwala, kocha aliswitch kwenye mfumo gani? Maana naona kama ulifaa sana Simba kumiliki mpira na mashambulizi yalizidi.
Mental case.Nasikia anahitajika man united
Mental case.Maaskini Makolo [emoji1787]
Mnaposhinda habari za gsm anaharibu ligi zinakoma na mnamwelewa fadlu, mkipoteza mnarudi Tena kwenye madam yenu ya gsm anaharibu ligi, kweli Rage akukosea ata kidogo!Mechi ya Simba na Mashujaa ilikuwa ngumu, lakini sub alizokuja kufanya kocha sijaelewa ilikujaje kuleta matokeo, maana galfa umiliki ukahamia kwa Simba.
Najua wengi walishtuka Shabalala kutolewa halafu anaingia Nouma, Ateba alitolewa tukaanza kuwa na mashaka na Mukwala ni kama kikosi ilichanganywa flani Nouma anacheza kati Ahoua anarudi pembeni.
Naomba kwa waelewa pale zile sub za kina Ateba walipotolewa wakaingia kina Awesu, Nouma, Mukwala, kocha aliswitch kwenye mfumo gani? Maana naona kama ulifaa sana Simba kumiliki mpira na mashambulizi yalizidi.
Kwenye heading umesema kuwa umeanza kumuelewa Fadlu halafu kwenye content unakuja kuomba msaada wa kueleweshwa hili ni tatizo.Mechi ya Simba na Mashujaa ilikuwa ngumu, lakini sub alizokuja kufanya kocha sijaelewa ilikujaje kuleta matokeo, maana galfa umiliki ukahamia kwa Simba.
Najua wengi walishtuka Shabalala kutolewa halafu anaingia Nouma, Ateba alitolewa tukaanza kuwa na mashaka na Mukwala ni kama kikosi ilichanganywa flani Nouma anacheza kati Ahoua anarudi pembeni.
Naomba kwa waelewa pale zile sub za kina Ateba walipotolewa wakaingia kina Awesu, Nouma, Mukwala, kocha aliswitch kwenye mfumo gani? Maana naona kama ulifaa sana Simba kumiliki mpira na mashambulizi yalizidi.
chance walizopata simba zilikuwa ngapi mpaka uje kuibeza perfomance ya Simba[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kama kwa mpira ule wa leo unaisifia simba, basi we wa hovyo
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Mechi ya Simba na Mashujaa ilikuwa ngumu, lakini sub alizokuja kufanya kocha sijaelewa ilikujaje kuleta matokeo, maana galfa umiliki ukahamia kwa Simba.
Najua wengi walishtuka Shabalala kutolewa halafu anaingia Nouma, Ateba alitolewa tukaanza kuwa na mashaka na Mukwala ni kama kikosi ilichanganywa flani Nouma anacheza kati Ahoua anarudi pembeni.
Naomba kwa waelewa pale zile sub za kina Ateba walipotolewa wakaingia kina Awesu, Nouma, Mukwala, kocha aliswitch kwenye mfumo gani? Maana naona kama ulifaa sana Simba kumiliki mpira na mashambulizi yalizidi.
Mo hana ujinga wa kuwapa hela marefa halafu kutowalipa wachezaji wake. Ndio maana ni mara chache sana kusikia Simba kuna mchezaji au kocha ameipeleka FIFAPale hakuna kikosi bila mo kutoa pesa na kufanya usajili wa maana sio janja janja sasa hivi tutamaliza ligi nafasi ya 4.
Tunza hii comment .
Mimi nimeongelea usajili wa maana sio swala la kulipa wachezaji au kudhurumu sheikMo hana ujinga wa kuwapa hela marefa halafu kutowalipa wachezaji wake. Ndio maana ni mara chache sana kusikia Simba kuna mchezaji au kocha ameipeleka FIFA
Hujioni mjinga kurudia kila siku kitu kile kile cha kijinga?huna upeo wa kuandika kingine zaidi ya hiyo kwenye hili jukwaa?usionyeshe ukilaza wa kiwango cha juu kwa kiasi hikiSisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu) View attachment 3141410
Lakini baada ya zile sub hukuona mashambulizi yaliongezeka langoni kwa Mashujaa siyo kama mwanzo?Kwenye heading umesema kuwa umeanza kumuelewa Fadlu halafu kwenye content unakuja kuomba msaada wa kueleweshwa hili ni tatizo.
Baada ya zile sub, Mashujaa walikuwa hatari sana kwenye counter ila hawakuwa na ukomavu wa kiakili kufanya maamuzi sahihi.
Kilichoifanya mechi iishe kwa ushindi kwa Simba ni wao wenyewe Mashujaa. Watu waliopo nje ya pitch wamewatoa mchezoni wenzao kwa kulalamika lalamika ovyo kwa mwamuzi amalize mpira. Wachezaji wakapoteza focus na concentration ya mchezo hivyo wakafanya poor marking.
Huyu ni mgonjwa msamehe anameza dawa za ukichaa😔Hujioni mjinga kurudia kila siku kitu kile kile cha kijinga?huna upeo wa kuandika kingine zaidi ya hiyo kwenye hili jukwaa?usionyeshe ukilaza wa kiwango cha juu kwa kiasi hiki
Mie nilimwelewa tangu awaadhibu Akina Mabululu. Huyu aachwe ana kitu kinaweza kisitokee mapema lakini kitatokea Tu.Mechi ya Simba na Mashujaa ilikuwa ngumu, lakini sub alizokuja kufanya kocha sijaelewa ilikujaje kuleta matokeo, maana galfa umiliki ukahamia kwa Simba.
Najua wengi walishtuka Shabalala kutolewa halafu anaingia Nouma, Ateba alitolewa tukaanza kuwa na mashaka na Mukwala ni kama kikosi ilichanganywa flani Nouma anacheza kati Ahoua anarudi pembeni.
Naomba kwa waelewa pale zile sub za kina Ateba walipotolewa wakaingia kina Awesu, Nouma, Mukwala, kocha aliswitch kwenye mfumo gani? Maana naona kama ulifaa sana Simba kumiliki mpira na mashambulizi yalizidi.
Naomba matokeo ya nyuma mwiko. Nitumie ndugu huku niliko network inasumbua sanaSisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu) View attachment 3141410
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Hujioni mjinga kurudia kila siku kitu kile kile cha kijinga?huna upeo wa kuandika kingine zaidi ya hiyo kwenye hili jukwaa?usionyeshe ukilaza wa kiwango cha juu kwa kiasi hiki