Naanza kumwelewa kocha wa Simba (Fadlu)

Pale hakuna kikosi bila mo kutoa pesa na kufanya usajili wa maana sio janja janja sasa hivi tutamaliza ligi nafasi ya 4.
Tunza hii comment .
 
Mnaposhinda habari za gsm anaharibu ligi zinakoma na mnamwelewa fadlu, mkipoteza mnarudi Tena kwenye madam yenu ya gsm anaharibu ligi, kweli Rage akukosea ata kidogo!
 
Kwenye heading umesema kuwa umeanza kumuelewa Fadlu halafu kwenye content unakuja kuomba msaada wa kueleweshwa hili ni tatizo.
Baada ya zile sub, Mashujaa walikuwa hatari sana kwenye counter ila hawakuwa na ukomavu wa kiakili kufanya maamuzi sahihi.

Kilichoifanya mechi iishe kwa ushindi kwa Simba ni wao wenyewe Mashujaa. Watu waliopo nje ya pitch wamewatoa mchezoni wenzao kwa kulalamika lalamika ovyo kwa mwamuzi amalize mpira. Wachezaji wakapoteza focus na concentration ya mchezo hivyo wakafanya poor marking.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
 
Pale hakuna kikosi bila mo kutoa pesa na kufanya usajili wa maana sio janja janja sasa hivi tutamaliza ligi nafasi ya 4.
Tunza hii comment .
Mo hana ujinga wa kuwapa hela marefa halafu kutowalipa wachezaji wake. Ndio maana ni mara chache sana kusikia Simba kuna mchezaji au kocha ameipeleka FIFA
 
Mo hana ujinga wa kuwapa hela marefa halafu kutowalipa wachezaji wake. Ndio maana ni mara chache sana kusikia Simba kuna mchezaji au kocha ameipeleka FIFA
Mimi nimeongelea usajili wa maana sio swala la kulipa wachezaji au kudhurumu sheik
 
Hujioni mjinga kurudia kila siku kitu kile kile cha kijinga?huna upeo wa kuandika kingine zaidi ya hiyo kwenye hili jukwaa?usionyeshe ukilaza wa kiwango cha juu kwa kiasi hiki
 
Lakini baada ya zile sub hukuona mashambulizi yaliongezeka langoni kwa Mashujaa siyo kama mwanzo?
 
Hujioni mjinga kurudia kila siku kitu kile kile cha kijinga?huna upeo wa kuandika kingine zaidi ya hiyo kwenye hili jukwaa?usionyeshe ukilaza wa kiwango cha juu kwa kiasi hiki
Huyu ni mgonjwa msamehe anameza dawa za ukichaa😔
 
Mie nilimwelewa tangu awaadhibu Akina Mabululu. Huyu aachwe ana kitu kinaweza kisitokee mapema lakini kitatokea Tu.
 
Naomba matokeo ya nyuma mwiko. Nitumie ndugu huku niliko network inasumbua sana
 
Hujioni mjinga kurudia kila siku kitu kile kile cha kijinga?huna upeo wa kuandika kingine zaidi ya hiyo kwenye hili jukwaa?usionyeshe ukilaza wa kiwango cha juu kwa kiasi hiki
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…