Naanza kushindwa mapema. Naombeni msaada wenu

We utakuwa unanyonya kitu mpaka. Sasa labda unanyonya Dole. Maana kwa mtu ambaye hakunyonya anasoma anaelewa. Hujasoma heading. Ndo madhara ya kunyonya vidole na sasa unanyonya madole. Huelewi.
Nimeelewa kwa kadri akili yangu imeona. Nimeelezea kwa kadri nilivyokaa darasani.

Kinachofuata baada ya hapo ni juu yako kuelewa nilichoandika au kuendelea na drama
 
Wee tulishasema hapa single ma,a ni wakutombering tuuu wee wataka uweke kambi ya nini
To yeye
 
Mtafute dentist awaelimishe juu ya madhara ya kunyonya vidole, mama atashirikiana nawe.
 
Unautaira kabisa ww unataka ** au unataka mtoto aache kunyonya vidole kama unataka mtoto asiyenyonya vidole nenda katika vituo yatima utapewq Bure ukae naye kama unataka ** ni sawa nakutaka boga huwezi acha ua lake au hanisi Babu sababu mingi

Wewe utakuwa na nyonya midole.maana hata kuandika hujui. Ndo maana sitaki na huyu dogo aharibike kama wewe. Ukisoma kwa akili utaelewa lakini sababu unanyonya Midole hujaelewa nlichoandika.
 

Ntamshauri mama yake akikataa abaki na mtoto wa tuwe tunaonana sisi tu na ada sichangii asiniambie mtoto wako anakumiss.
 
Mwanao anaakusalimia,hii salaam imekaa kinafiki sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…