Naanza Likizo

Naanza Likizo

Joined
Mar 12, 2018
Posts
75
Reaction score
86
Nachukuwa nafasi hii kuwaaga, mie naanza likizo. Likizo sio lazima uajiriwe. Likizo ni mapumziko.

Jitahidini nanyi muwe mnapumzika. Hata mumeo/mkeo uwe unampa likizo apate muda wa kutoka nje ya hapo kwenu aende kuosha macho kidogo Sakayo, Asprin, Mwifwa, Samaritan, mahondaw na wengine wooote.

Nikirudi nitakuwa nishampata rafiki na nitamtambulisha rasmi kwenu. Mbaki salama Wananzengo wote!
 
Back
Top Bottom