Naanza maisha ya ubachelor alone please you help me

Unajua D.A tunatofautiana kipato mm siwezi nikampeleka mpenzi kwenye Guest zaidi ya Tsh.5000/=

Kwani wewe unalala wapi?? Kwanini usimpeleke home au ndo yale yale ya in.............
 
Kwani wewe unalala wapi?? Kwanini usimpeleke home au ndo yale yale ya in.............

Sasa home nitapeleka wa ngapi D.A?

Mama mwenye nyumba si atanitoa mkuku anakuta leo amekuja Mwanaidd kesho Mwanaisha kesho kutwa Mwanahawa......
 
Dah kuna watu wanajua kuchekesha, chumba kinahitaji Mabox ya nanilihi kwa ajili pia ya wageni sio. Dah mlete mchungaji au mtumishi wa Mungu aibariki nyumba yako, majaribu na maroho machafu yasikupate. Sio chumba kinageuka gest kweli aisee!
 
We wa kike au wa kiume?

Hilo sio swali mkuu! Ukisikia neno BACHELOR ujue ni mwanaume ambaye hajaoa na umri utakuwa umesogea kidogo. Naye mwanamke ambaye hajaolewa bado na hatarajii anaitwa SPINSTER. Nionavyo mtoa mada hayupo kokote katika hawa.
 
duh..mkuu umelenga mle mle...ntafaidika sana na ushauri wa wanajamvi..we are sailing on the same boat.
 
Sasa home nitapeleka wa ngapi D.A?

Mama mwenye nyumba si atanitoa mkuku anakuta leo amekuja Mwanaidd kesho Mwanaisha kesho kutwa Mwanahawa......


Kumbe bado unapangaaaa??? Punguza laga aka kilimanjaro baridi
 

dah mwana hii nimecheka mno duh. Kumbe kuna madem wanachek vitu vya ndani tu?!
 
naanza maisha ya ubachelor wadau naomba msaada wa vitu muhimu ninavyotakiwa kuwa navyo chumba nimeshapata rum(master) na sebule nna kitanda teyari 5 kwa 6

kabati, mziki, tv, kafriji, jiko, vyombo, capeti, mapazia, makochi,...
Nitarudi kumalizia.
 
Sasa home nitapeleka wa ngapi D.A?

Mama mwenye nyumba si atanitoa mkuku anakuta leo amekuja Mwanaidd kesho Mwanaisha kesho kutwa Mwanahawa......
Dah!! Home boy ulivyowapanga hao sidhani hata kama watagongana siku moja kujua kama wanachezeshwa tatu moja kama TP MAZEMBE walivyomchezesha SIMBA.
 
Ushapata hivo ulokuwa navyo ni sawa kwa kuanzia vingine utanunua taratiiiibu
 
duh!!nivizuri kamaa bachelor ujue kupikaa ita kusaidia kusave zaidi
 
hata kuanza maisha mwataka mshauriwe? Sasa tusubir kuulizwa na jinsi ya kuvua vidonge vya wapenzi wenu.
 
Kwa kuongezea: Epuka kuzoeana na watoto wa mama mwenye nyumba kama mnaishi nyumba moja.Pia unaponunua maji nunua Uhai ya lita tano na pindi umalizapo kutumia usitumie makopo bali yatumie kukusaidia kuhifadhia maji ya kuoga na kufua. Pia jenga mazoea na muuza chipsi kwenye kibanda kilicho karibu na unapoishi maana kuna wakati mwishho wa mwezi hautakutana na mwingine hivyo utalazimika kukopa.
Kama hujaanza kunywa bia epuka kunywa za chupa ndogo maana utachelewa kulewa. Aksante
 
Nunua Mwiko
Nunua Sufuria
Nunua Vijiko
Nunua Friji
Nunua Uma
Nunua Visu

Ngoja niendelee kukumbuka vingine halafu nitarudi

kaka ngoja nikusaidie;
Kwanza jiko.
taulo zaidi ya moja, mswaki na shuka.
usinunue kabiisa mayai, soseji, wala special kakes,
Kopo la kuhifadhia maji baada ya kuchemsha.

mwingine aendeleze.

karibu maishani mkuu.
 
C2C huna kaka au dada mkubwa au hata binamu wa kukupa mwongozo? wazazi wako wako wapi? binafsi naamini mtoto akimaliza shule akaanza kujitegemea bado ni vyema wazazi/walezi tukaendelea kumsaidia mtoto wakati anaanza maisha kwa kumpa mwongozo na mwongozo huu si lazima uwe wa kumpa pesa hata kwa kumwelekeza tu. Nimekuonea huruma sana kijana napata hisia kama vile umetumbukia kwenye msitu mkubwa sana. Mimi nakupa tahadhari moja chunga sana mama mwenye nyumbana wapangaji wa kike ambao ni single,kweli kabisa nakwambia,usishangae kidogo kidogo wakianza kukuitia ugali na bamia au hata kukuletea chumbani kwako and then............
 
Hii post imenichekesha kupita kiasi mpaka mkoloni katoka kuja kuona nacheka nini
Duh! DA na hii yako inakatisha mbavu. Nimepata picha ya mkoloni mawivu mpaka kwenye nywele anakuja kucheki kama hakuna mvamizi. Liked it!
 
Tafuta msichana wa kazi mzuri. Yeye atajua nini kinahitajika zaidi na kwa wakati gani. Ukipata wa kulala hapo hapo bora zaidi. Baada ya "probation period" unaweza kuamua hata ku"formalize status" zenu.
Kabla ya yote, tafuta godoro na ndoo za maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…