Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,273
Unajua D.A tunatofautiana kipato mm siwezi nikampeleka mpenzi kwenye Guest zaidi ya Tsh.5000/=
Kwani wewe unalala wapi?? Kwanini usimpeleke home au ndo yale yale ya in.............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua D.A tunatofautiana kipato mm siwezi nikampeleka mpenzi kwenye Guest zaidi ya Tsh.5000/=
Yawezekana unaowapeleka huko ni wale akina dada wa Ambience.
Kwani wewe unalala wapi?? Kwanini usimpeleke home au ndo yale yale ya in.............
We wa kike au wa kiume?
Sasa home nitapeleka wa ngapi D.A?
Mama mwenye nyumba si atanitoa mkuku anakuta leo amekuja Mwanaidd kesho Mwanaisha kesho kutwa Mwanahawa......
panga vyumba 2, kimojawapo weka mkeka, kibatari, redio bendi 4 na dodoki. Chumba cha pili weka vitu vyako vya garama mfano kitanda, sofa, friji, kabati na Tv, kile chumba chenye mkeka kitumie olways na rafiki zako na masholi, hii itakusaidia kupata mke wa ukweli asiyefuata mali. Kwani hatajua kama unavitu hvyo one day itakuwa kama suprise kwako.
naanza maisha ya ubachelor wadau naomba msaada wa vitu muhimu ninavyotakiwa kuwa navyo chumba nimeshapata rum(master) na sebule nna kitanda teyari 5 kwa 6
Dah!! Home boy ulivyowapanga hao sidhani hata kama watagongana siku moja kujua kama wanachezeshwa tatu moja kama TP MAZEMBE walivyomchezesha SIMBA.Sasa home nitapeleka wa ngapi D.A?
Mama mwenye nyumba si atanitoa mkuku anakuta leo amekuja Mwanaidd kesho Mwanaisha kesho kutwa Mwanahawa......
I thot by sayin bachelol kasema yote au ni aje wanduguWe wa kike au wa kiume?
thanks sana mkuu for the Good advice naikubali sana hii na imenipa moyo sana wa kusonga mbele
Nunua Mwiko
Nunua Sufuria
Nunua Vijiko
Nunua Friji
Nunua Uma
Nunua Visu
Ngoja niendelee kukumbuka vingine halafu nitarudi
Duh! DA na hii yako inakatisha mbavu. Nimepata picha ya mkoloni mawivu mpaka kwenye nywele anakuja kucheki kama hakuna mvamizi. Liked it!Hii post imenichekesha kupita kiasi mpaka mkoloni katoka kuja kuona nacheka nini