Gaga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,558
- 1,970
Msichana wa kazi wa nini na wewe? wakati yuko mwenyewe tu na anaanza maisha? anatakiwa kubana matumizi na kufanya kazi za ndani mwenyewe tu, hayo mengine tena atajijua mtaaniTafuta msichana wa kazi mzuri. Yeye atajua nini kinahitajika zaidi na kwa wakati gani. Ukipata wa kulala hapo hapo bora zaidi. Baada ya "probation period" unaweza kuamua hata ku"formalize status" zenu.
Kabla ya yote, tafuta godoro na ndoo za maji.